Tukumbushane Wakuu wa Mikoa wa miaka ya nyuma

Ngoja nitaje ambao hawajatajwa
Dr Ahmed Kiwanuka
Brig Jenerali Hassan Ngwilizi
Mzee wetu Joel Bendera
Meja Sigela Nswima
Leonidas Gama
Dr Msengi
Mzee James Luhanga
Jordan Lugimbana
Mwantumu Mahiza
mwantumu Malale
Hawa Ngulume
Job Lusinde
 
Pius Msekwa
Juma Akukweti
Kate Kamba
Stella Manyanya
Zelothe Steven
 
Enzi hizo buana, sahivi mkuu wa mkoa anaejulikana ni mmoja tu, jamaa mwenye mkoa wake
 
mavi ni wewe usiojua kuwa hakuna tofauti yoyote kati ya wanyamwez na wasukuma wote ni wale wale.. ukweli ni kwamba baba yenu ni mkabila.
Chadema kwa ukabila mnajulikana nyie watu ni wakabila sana na hamtakaa mfike popote watanzania wameshawajuae namna mlivyo hatari kwa taifa letu mna laana
 
Mimi nawakumbuka akina,
James ole Njoray
Dokta Wilbert Kleruu
Ukiwaona Ramadhani Mwinshehe Ditopile Mzuzuri
Steven Mashishanga

Karibu uendeleee...

Balozi Richard S. Wambura RIP
Athumani Kabongo
Daniel Machemba RIP
Silas Mayunga RIP
Meja General Mwita Chacha Marwa RIP
Stephen Wassira
Anna Abdalla
Dr. Lawrence Mtazama Gama RIP
Joseph Butiku
Col. Ayoub Simba
Kingunge Ngombale Mwiru
Nicodemus Banduka
 
Reactions: Auz
Ernest Nyanda,Nicodemus Banduka,Piusi Ng'wandu,Chief Masanja.
 
Namkumbuka ABAS KANDORO dar aliniachia maji ya kandoro mpaka sasa watu wanayatumia
Nafikiri kwa Dar, huyu aliyepo ndo wa kwanza, haijawahi kuwa na mkuu wa mkoa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…