Tukumbushane Wakuu wa Mikoa wa miaka ya nyuma

Daniel Machemba (R. I. P) alikaa kwa muda mrefu Mwanza hadi eneo la makazi yake tukawa tunapaita mlima Machemba. Sina huakika kama bado eneo lile linaitwa mlima Machemba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abas Kondoro ongeza na Tabora
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka Kingunge Ngombale Mwiru alipokua mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alitafisha mabucheri.
Yaani bucher ziliendeshwa kichama zaidi.
Bucha zilikua na wafanyakazi 5.
1. Mkata nyama
2. Keshia
3. Mpimaji kwenye mizani
4. Mgambo/mlinzi
5. Supervisor wa butchery.
Enzi hizo ukitaka nyama Bora lazima tuongee na supervisor wa butchery,
yaani umpe kidogo kitu.
Ikumbukwe hawa wafanyakazi wakiondoka kwenda home kila mmoja lazima abebe masarufu kama kilo na ushee. Kila siku.
Mbona butchery ziliingiza hasara mpaka zikafungwa.
 
Daudi kijiko ntibenda.... alietangulia kabla ya mrisho mashaka Gambo arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…