21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Kivip tenaUmezingua mkuu
Juma Nyosso hana mpinzaniBongo pia wapo
Haruna Moshi Boban
Athuman Idd Chuji
Juma Said Nyosso
Abdul Humud
Jamaa nilikuwa namkubali na timu yake pia, sema ndio wako daraja LA pili sasa hiviWale wapenzi wa EPL wa miaka ya 2005 na kuendelea nadhani mtamkumbuka mshambuliaji Kevin Davies wa Bolton, jamaa licha ya kucheza straika lakini pia aliongoza kwa kadi kutokana na ubabe wake kwa mabeki.
Mkuu umekula maharage ya wapi?Na kwenye siasa, yumo kingunge