Tukumbushane Wanasoka wakorofi, watukutu na wababe katika Soka.

Tukumbushane Wanasoka wakorofi, watukutu na wababe katika Soka.

Wale wapenzi wa EPL wa miaka ya 2005 na kuendelea nadhani mtamkumbuka mshambuliaji Kevin Davies wa Bolton, jamaa licha ya kucheza straika lakini pia aliongoza kwa kadi kutokana na ubabe wake kwa mabeki.
160736.jpg
 
Jamaa nilikuwa namkubali na timu yake pia, sema ndio wako daraja LA pili sasa hivi
 
Huyu mjinga anaitwa Gerardo Bedoya ni Mcolombia, ndie mchezaji mwenye record ya dunia ya red cards 46 katika career yake yote.

Kuthibitisha utukutu wake baada ya kutundika daluga akaingia kwenye ukocha.

Mechi yake yakwanza kama kocha akapigwa umeme pia..
 
Mascherano. Huyu jamaa ni mkimya ila anatandika fito za kimyakimya hamna mfano

Kuna keepler lima alias pepe. Ila nashangaa jizi kuna mechi zilitoka red 3 njano 12, yeye hajapata hata warning.
 
Mgekuwa mnaweka na vituko walivyofanya na picha zao ingependeza zaidi
 
Back
Top Bottom