Jaap StamJam Stam
Umetisha mkuuKikosi
Kipa
Chilavat
Defenders
Martin Keown, Marco Materazzi, Jurgen Kohre, Stam
Mid fielders
Roy Keane, Patrick Viera, Joe Burton, Robbie Savage
Foword
Balotelli Mario, Diego Costa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu mjinga anaitwa Gerardo Bedoya ni Mcolombia, ndie mchezaji mwenye record ya dunia ya red cards 46 katika career yake yote.
Kuthibitisha utukutu wake baada ya kutundika daluga akaingia kwenye ukocha.
Mechi yake yakwanza kama kocha akapigwa umeme pia..
the big duncanSikutegemea kama mtamsahau huyu kiumbe wakuitwa Duncan Ferguson
Na Faustino AsprillaErick cantona karateka man