Tukumbushane Wanasoka wakorofi, watukutu na wababe katika Soka.

Tukumbushane Wanasoka wakorofi, watukutu na wababe katika Soka.



Huyu mjinga anaitwa Gerardo Bedoya ni Mcolombia, ndie mchezaji mwenye record ya dunia ya red cards 46 katika career yake yote.

Kuthibitisha utukutu wake baada ya kutundika daluga akaingia kwenye ukocha.

Mechi yake yakwanza kama kocha akapigwa umeme pia..

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nimesoma comment zote sijaona jina la oliver kahn, huyu mjerumani alikuwa mkorofi mno. alikuwa anafokea sana mabeki hata kuwazibua makofi kama akili haziko sawia.

chappi-kahn_imago00115128h.jpg


oliver-kahn-ausraster-2.jpg


7e2dc6df66d351c4cc3c107dcf53f726.jpg
 
Back
Top Bottom