Tukumbushane Wanasoka wakorofi, watukutu na wababe katika Soka.

Mimi namjua Roster Ndunguru wa Nyota Nyekundu. Huyu alikuwa anatoka upande wake kwenda kufanya rafu sehemu nyungine hata kama mpira umesimama halafu anarudi namba yake na kujikausha. Yaani refa amesimamisha mpira ili kuongea na wachezaji Rostee alikuwa anatoka alipo na kumsukuma mwenzake refa anashangaa mtu kaanguka peke yake kumbe jamaa alishamvamia na kukinbia.

Vv
 


Ongezea na hawa kina Al Shabaab:
1.Gennaro Gattusso
2. Duncan Ferguson (Mfalme wa Roy Keane)
3. Daniel Passarella (defender mbabe wa Argentina, Inter, Fiorentina, enzi hizo....huyu alikuwa anasifikana kwa kupiga watu vichwa makusudi kusingizia alikuwa anaokoa kona/jahazi).
4. Luis (Mla watu) Suarez
5. John Terry
6. Joey Burton
7. Vinnie (hard man) Jones .....jamaa alikuwa mbabe enzi zake na alikuwa ahofii kadi nyekundu kwani hata refa alikuwa anakunjwa akimuonya Vinnie. Alikuwa anachezea Wimbledon enzi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…