Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah nimecheka sana muda wote alikuwa anapigia mbuzi GittaTenga muda soma hayo maandishi kwenye picha uone jinsi Mou anavyouelezea utukutu wa Mario
![]()
Ubabe ubabeCaptain Roy Keane
![]()
![]()
Huyu sio mbabe ila rafu zake dah
Wakuu wa jukwaa, leo tukumbushane wanasoka wakorofi katika mchezo wa kabumbu. Wanaweza wakawa na vipaji vya hali ya juu lakini bado wana tabia za ukorofi, ubabe kama sio utukutu yaani kadi nyekundu muda wowote. Wanaweza wakawa wanaendelea kucheza ama washastafu.
List yangu ni hii;
Craig Bellamy
Roy Keane
Nigel De Jong