Namkumbuja Faye enzi akikipiga Bolton Wonderers ya Big Sam.Abdoulaye diagne faye hiki kisiki cha Senegal na huyu Edmund the animal chuma hiki ikifika big game inabidi wana saikolojia wa timu wakae nae kumsihi amalize japo game.
Namkumbuja Faye enzi akikipiga Bolton Wonderers ya Big Sam.
kikosi hiko ukute ndio kimeenea afu mechi inapigwa uwanja wao wa nyumbani wa Reebok stadium mbona mtalala na viatu!Sasa pana kipindi faye na Ryan shawcross walikutana hapo stoke city ilikuwa khatari sana nadhani kipindi hicho ndio ramsey walipoondoka na mguu wake. Bolton wale jamaa walikuwa wanajijua wenyewe akina kelvin david na Jay Jay okocha elhadj diof khalilou fadiga nick hunt ricardo gadna akina Les ferdinad mziki huu ulikuwa mwaka 2005 vyuma hivi vilikuwa vinatoa huduma hapo pamoja na Vincent condela na radhi jadi kesha toka derpotivo la coruna ilikuwa tabu.
Jamaa walikuwa wabishi na uwezo ulikuwepokikosi hiko ukute ndio kimeenea afu mechi inapigwa uwanja wao wa nyumbani wa Reebok stadium mbona mtalala na viatu!
agiza pepsi baridi kwa bili yakoJuma nyosso