Tukumbushane Wanasoka wakorofi, watukutu na wababe katika Soka.

Tukumbushane Wanasoka wakorofi, watukutu na wababe katika Soka.

Abdoulaye diagne faye hiki kisiki cha Senegal na huyu Edmund the animal chuma hiki ikifika big game inabidi wana saikolojia wa timu wakae nae kumsihi amalize japo game.
 
Paul Ince
Edmundo
Di Canio
Joy Burton
David Ginola
Robie Fowler
Dennis Wise
 
Namkumbuja Faye enzi akikipiga Bolton Wonderers ya Big Sam.
Sasa pana kipindi faye na Ryan shawcross walikutana hapo stoke city ilikuwa khatari sana nadhani kipindi hicho ndio ramsey walipoondoka na mguu wake. Bolton wale jamaa walikuwa wanajijua wenyewe akina kelvin david na Jay Jay okocha elhadj diof khalilou fadiga nick hunt ricardo gadna akina Les ferdinad mziki huu ulikuwa mwaka 2005 vyuma hivi vilikuwa vinatoa huduma hapo pamoja na Vincent condela na radhi jaidi kesha toka derpotivo la coruna ilikuwa tabu.​
 
Sasa pana kipindi faye na Ryan shawcross walikutana hapo stoke city ilikuwa khatari sana nadhani kipindi hicho ndio ramsey walipoondoka na mguu wake. Bolton wale jamaa walikuwa wanajijua wenyewe akina kelvin david na Jay Jay okocha elhadj diof khalilou fadiga nick hunt ricardo gadna akina Les ferdinad mziki huu ulikuwa mwaka 2005 vyuma hivi vilikuwa vinatoa huduma hapo pamoja na Vincent condela na radhi jadi kesha toka derpotivo la coruna ilikuwa tabu.​
kikosi hiko ukute ndio kimeenea afu mechi inapigwa uwanja wao wa nyumbani wa Reebok stadium mbona mtalala na viatu!
 
Back
Top Bottom