mmhh hapo kwa messi sikubaliani nawe,kale kajamaa mda mwingine katata!!Messi, George Weah(enzi zake, kwa sasa ni mheshimiwa rais) na Kichuya
Labda Barton wa huko kwenu Kaliua
Joey Barton
Alikuwa mpole sana,nakumbuka tabia yake ya kukuchekea pale unapomchezea vibaya.
Hao watukutu umewatajaRoy Kean, Patrick Viera, Savage etc
Messi video zake za fujo YouTube zimejaa, ana ustarabu gani?Mess na kaka
Messi ana video za kikorofi kibao zipo YouTube ndo ustarabu ule?King Messi
Giggs