Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka yupo good sana kwenye kitengo cha ustaarabuRicardo Kaka,xavi
Ha ha ha....luis suares
Gilberto silva
NyooooJuma nyosso
Ilikiwa vita wakikutanaRoy Kean, Patrick Viera, Savage etc
Jamaa alikua beki kisiki wa Majimaji ya Songea, Majimaji ya kina Peter Mhina, Octavian Mrope, Selestin 'Sikinde' Mbunga(R.I.P), Peter Tino, Madaraka Selemani na wengineo. Alikua anatoka uwanjani bila vumbi wala tope japo kazi aliyokua anafanya uwanjani si yakitotoSamli Ayoub beki mstaarabu. Watakaomjua ni wachache sana
huyu ni beki wangu bora kuwahi kutokea...nilikua namuelewa sana enzi zake ndani ya Barcelona.PUYOL
huyu jamaa mm namuonaga kama mgonjwa mgonjwa sijui kwann au ndio upole huo!Ozil
Mimi nilikuwa beki mzuri sana, nilicheza namba 3 na wakati mwingine 4. katika masisha yangu ya soka sijawahi hata kumkwatua mchezaji, au hata kutamka mbovumbovu
Kweli Moh Salah ni mstaarabu sana, akishaitundika goli timu aliyowahi kuichezea e.g. Chelsea, Roma huwa hashangilii kuonyesha heshima, bali hunyanyua mikono juu kuomba radhi..Tofauti na wengine ndio huonyesha kejeri hasa kwa kujipiga kifuani n.k.Egyptian king
Jamaa anaujua mpira na nidhamu uwanjani anayo.Kweli Moh Salah ni mstaarabu sana, akishaitundika goli timu aliyowahi kuichezea e.g. Chelsea, Roma huwa hashangilii kuonyesha heshima, bali hunyanyua mikono juu kuomba radhi..Tofauti na wengine ndio huonyesha kejeri hasa kwa kujipiga kifuani n.k.