Tukumbushane Wanasoka wastaarabu na wapole wawapo dimbani

Sitamsahau John Masamaki...wakongwe mnamkumbuka akiwa timu ya tpc ya moshi kwa macho yangu niliona akipigwa ngumi ya koo akiwa hana mpira...yaani yeyye ni forward..sasa akiwa amebaki na mabeki wa timu pinzani mpira ukiwa upande mwingine kabisa jamaa anampiga ngumi ya koo..masamaki anaanguka chini refa anaitwa maana hajaona...anaonya anaondoka jamaa alimpiga kama mara tatu hv...mwisho wa mpira nilijua tu ngumi zitapigwa...ila ndio masamaki akamtafuta jamaa akamkumbatia..nadhani yule beki aliitwa inno na alikua anavuta bangi balaa..timu yao iliitwa nyuki..that was fair...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…