Wabongo sijui lini tutakuwa seriousAcha kuchanganya Michezo na Siasa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo sijui lini tutakuwa seriousAcha kuchanganya Michezo na Siasa...
Kipindi naanza kufatilia mpira japo si mfatiliaji sana moja ya wachezaji waliokuwa wakipita kwa masikio yangu ni nuno gomezi na crespo sijui walishatundika madaruga nakumbuka crespo alikuwa Chelsea japo nuno nimesahauNuno Gomez
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda kwenye team ya mapunga ya Lumumba
Labda akiwa hajavuta bangi.Pepe
anaustaarabu gani messi na wwMessi, George Weah(enzi zake, kwa sasa ni mheshimiwa rais) na Kichuya
mmmhh ustaarabu upi unazungumziwa hapa jaman........mana anatembeza gwala huyu sio mchezooKante
George Weah alimpiga mtu kichwa cha pua ikawa inaning,iniaMessi, George Weah(enzi zake, kwa sasa ni mheshimiwa rais) na Kichuya
wewe utakuwa muhengaLahm, gary lineker, pirlo, ricardo ernesto almangungule kaka kibraza, kante.