Tukumbushane ya Joyce Banda

Tukumbushane ya Joyce Banda

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
TUKUMBUSHANE

Mwaka 2009, Bingu wa Mutharika, kama mgombea wa urais na Joyce Banda mgombea-mwenza, walishinda uchaguzi mkuu kupitia chama cha DPP. Mara baada ya kuanza majukumu yao, iliibuka minong’ono kwamba wawili hao walikuwa hawaivi chungu kimoja.

Halafu, Mutharika akafa ghafla!

Baada ya kifo cha Mutharika, serikali ilificha taarifa za kifo chake mpaka watu wakaanza kuhoji kwa nini rais haonekani. Ulitaka kutokea mzozo wa kikatiba mpaka Rais mstaafu Bakili Muluzi alipoomba katiba ya nchi iheshimiwe na kuomba makamu wa rais akabidhiwe madaraka kama katiba inavyotaka. Baadhi ya mawaziri walipotaka kuwekea pingamizi ili mahakama isimwapishe, Joyce alimpigia mkuu wa majeshi, Jenerali Henry Odillo na kumwomba aokoe jahazi. Odillo alimwaga wanajeshi lukuki kumlinda Joyce mpaka alipoapishwa, April 7, 2012.

Kwenye hotuba yake baada ya kuapishwa, Joyce alitoa wito wa mshikamano. “Nawaomba tusonge mbele kwa matumaini, umoja na mshikamano. Tumtangulize Mungu kwa sababu, tusipofanya hivyo hatutafika popote kama taifa” Hotuba hii iligusa na kuponya majeraha ya watu wengi. April 26 2012, Joyce aliunda baraza la mawaziri 19 na ma-makamo wao lakini wizara nyeti akizibakiza mikononi mwake. Mwaka uliofuata kulitokea kashfa kubwa ya rushwa ya mamilioni ya dola (maarufu kama Capital Hill Cashgate scandal). Alivunja baraza lote la mawaziri na kuunda jipya.

Akituhumiwa na wananchi kwa uongozi legelege, tuhuma za rushwa na kunyamazia malalamiko ya wananchi, mwaka 2014, Joyce alishindwa vibaya sana katika uchaguzi mkuu uliofuata. Alijaribu kufuta na kubadili matokeo lakini tume ya uchaguzi na mahakama vilimgomea. Kwenye sherehe ya kumwapisha rais aliyeshinda, Joyce hakuhudhuria japo alituma pongezi zake. Joyce aliamua kwenda kuishi uhamishoni lakini tarehe 31 July, 2017, mahakama ilitangaza hati ya kukamatwa kwake kwa tuhumu za rushwa wakati wa maigizo ya urais wake.

Nimeiandika makala hii ili kama nanyi wenzangu mna tatizo la kusahau-sahau kama mimi, basi itukumbushe sote historia hii ya muhimu.
 
Mimi nakumbuka tu ya Benazir Bhutto na maushungi yake. Alikuwa anapenda kuchezea vyombo vya dola, siku yake ikafika wakamtandika risasi.

Poetic Justice 🪓🪓🪓​
Haa yule kahaba alikuwa hafai alikuwa mpumbavu kama mjambiani
 
TUKUMBUSHANE

Mwaka 2009, Bingu wa Mutharika, kama mgombea wa urais na Joyce Banda mgombea-mwenza, walishinda uchaguzi mkuu kupitia chama cha DPP. Mara baada ya kuanza majukumu yao, iliibuka minong’ono kwamba wawili hao walikuwa hawaivi chungu kimoja.

Halafu, Mutharika akafa ghafla!

Baada ya kifo cha Mutharika, serikali ilificha taarifa za kifo chake mpaka watu wakaanza kuhoji kwa nini rais haonekani. Ulitaka kutokea mzozo wa kikatiba mpaka Rais mstaafu Bakili Muluzi alipoomba katiba ya nchi iheshimiwe na kuomba makamu wa rais akabidhiwe madaraka kama katiba inavyotaka. Baadhi ya mawaziri walipotaka kuwekea pingamizi ili mahakama isimwapishe, Joyce alimpigia mkuu wa majeshi, Jenerali Henry Odillo na kumwomba aokoe jahazi. Odillo alimwaga wanajeshi lukuki kumlinda Joyce mpaka alipoapishwa, April 7, 2012.

Kwenye hotuba yake baada ya kuapishwa, Joyce alitoa wito wa mshikamano. “Nawaomba tusonge mbele kwa matumaini, umoja na mshikamano. Tumtangulize Mungu kwa sababu, tusipofanya hivyo hatutafika popote kama taifa” Hotuba hii iligusa na kuponya majeraha ya watu wengi. April 26 2012, Joyce aliunda baraza la mawaziri 19 na ma-makamo wao lakini wizara nyeti akizibakiza mikononi mwake. Mwaka uliofuata kulitokea kashfa kubwa ya rushwa ya mamilioni ya dola (maarufu kama Capital Hill Cashgate scandal). Alivunja baraza lote la mawaziri na kuunda jipya.

Akituhumiwa na wananchi kwa uongozi legelege, tuhuma za rushwa na kunyamazia malalamiko ya wananchi, mwaka 2014, Joyce alishindwa vibaya sana katika uchaguzi mkuu uliofuata. Alijaribu kufuta na kubadili matokeo lakini tume ya uchaguzi na mahakama vilimgomea. Kwenye sherehe ya kumwapisha rais aliyeshinda, Joyce hakuhudhuria japo alituma pongezi zake. Joyce aliamua kwenda kuishi uhamishoni lakini tarehe 31 July, 2017, mahakama ilitangaza hati ya kukamatwa kwake kwa tuhumu za rushwa wakati wa maigizo ya urais wake.

Nimeiandika makala hii ili kama nanyi wenzangu mna tatizo la kusahau-sahau kama mimi, basi itukumbushe sote historia hii ya muhimu.
inatufundisha nini hii hadithi yako mbaya
 
Kama nakumbuka vizuri Mutharika alifariki nchini Malawi, halafu mwili wake ukapelekwa SA, ndipo ulirudishwa baadaye kwa mazishi!
 
Mimi nakumbuka tu ya Benazir Bhutto na maushungi yake. Alikuwa anapenda kuchezea vyombo vya dola na kula rushwa, zamu yake nayeye ikafika 🪓🪓🪓

Poetic Justice
Oliver_Mark_-_Benazir_Bhutto,_Dubai_2006_(cropped).jpg

Benazir bhuto
 
TUKUMBUSHANE

Mwaka 2009, Bingu wa Mutharika, kama mgombea wa urais na Joyce Banda mgombea-mwenza, walishinda uchaguzi mkuu kupitia chama cha DPP. Mara baada ya kuanza majukumu yao, iliibuka minong’ono kwamba wawili hao walikuwa hawaivi chungu kimoja.

Halafu, Mutharika akafa ghafla!

Baada ya kifo cha Mutharika, serikali ilificha taarifa za kifo chake mpaka watu wakaanza kuhoji kwa nini rais haonekani. Ulitaka kutokea mzozo wa kikatiba mpaka Rais mstaafu Bakili Muluzi alipoomba katiba ya nchi iheshimiwe na kuomba makamu wa rais akabidhiwe madaraka kama katiba inavyotaka. Baadhi ya mawaziri walipotaka kuwekea pingamizi ili mahakama isimwapishe, Joyce alimpigia mkuu wa majeshi, Jenerali Henry Odillo na kumwomba aokoe jahazi. Odillo alimwaga wanajeshi lukuki kumlinda Joyce mpaka alipoapishwa, April 7, 2012.

Kwenye hotuba yake baada ya kuapishwa, Joyce alitoa wito wa mshikamano. “Nawaomba tusonge mbele kwa matumaini, umoja na mshikamano. Tumtangulize Mungu kwa sababu, tusipofanya hivyo hatutafika popote kama taifa” Hotuba hii iligusa na kuponya majeraha ya watu wengi. April 26 2012, Joyce aliunda baraza la mawaziri 19 na ma-makamo wao lakini wizara nyeti akizibakiza mikononi mwake. Mwaka uliofuata kulitokea kashfa kubwa ya rushwa ya mamilioni ya dola (maarufu kama Capital Hill Cashgate scandal). Alivunja baraza lote la mawaziri na kuunda jipya.

Akituhumiwa na wananchi kwa uongozi legelege, tuhuma za rushwa na kunyamazia malalamiko ya wananchi, mwaka 2014, Joyce alishindwa vibaya sana katika uchaguzi mkuu uliofuata. Alijaribu kufuta na kubadili matokeo lakini tume ya uchaguzi na mahakama vilimgomea. Kwenye sherehe ya kumwapisha rais aliyeshinda, Joyce hakuhudhuria japo alituma pongezi zake. Joyce aliamua kwenda kuishi uhamishoni lakini tarehe 31 July, 2017, mahakama ilitangaza hati ya kukamatwa kwake kwa tuhumu za rushwa wakati wa maigizo ya urais wake.

Nimeiandika makala hii ili kama nanyi wenzangu mna tatizo la kusahau-sahau kama mimi, basi itukumbushe sote historia hii ya muhimu.
Wewe jikumbushe mwenyewe sisi hatutaki kukumbuka
 
CCM DAIMA
 
Asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom