Nakumbuka siku hiyo mi nilikuwa zamu wakati nataka kuingia mle ghalani nilisikia kitu kinacheua kama mtu kafunua bia kidogo nikatoka mbio kumuita afisa wa zamu kabla nilipofika pale main get ndo nikasikia.Nakumbuka siku hiyo wakati ukitokea mlipuko wa mabomu maeneo ya Gongo la mboto, nilikua sinza , ghafla nikaanza kuona miale ya moto juu ya anga , binafsi nilihisi labda tayari kimenuka...
Pole sana mkuu,Nakumbuka siku hiyo mi nilikuwa zamu wakati nataka kuingia mle ghalani nilisikia kitu kinacheua kama mtu kafunua bia kidogo nikatoka mbio kumuita afisa wa zamu kabla nilipofika pale main get ndo nikasikia.
Nitamalizia baadae boss kaja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante [emoji24][emoji24]Pole sana mkuu,
Lilikua tukio lililozua taharuki na heka heka za aina yake.Mjini mipango kweli
Kipindi kile,kashfa kidogo tu unautema Uwaziri lakin Hussein Mwinyi hakutema Uwaziri pamoja na mabomu yote yale akiwa Waziri, lakin mwenzie Shamsi Vuai aliutema Uwaziri huo huo wa Ulinzi kwa kuwa tu watu walichapwa viboko na Askar wa JWTZ kwenye operation Tokomeza
Mwinyi mtu wa Chenga sana
Anaondoka Wizara ya Afya nyuma yake ukatokea Mgomo Waziri wa wakati huo Dr Mponda akapoteza Uwaziri
Mwinyi anaondoka Wizara ya Ulinzi anaenda Afya Nyuma yake kunatokea Operation tokomeza na hatimae Shamsi Vuai anapoteza Uwaziri kwa shinikizo la Wabunge
Ilikuaje mkuu.Naikumbuka vema siku hii, kipindi hicho nipo kidato cha 6 pale Azaboy daah.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu.Mie nilikuwa mikoani kikāzi. Mke wangu na watoto walikimbia toka Kipunguni hadi Kibangu usiku huo. Kwa hakika mtu hawezi kulizidi bomu spidi - lakini walijiwa na wazo la kukimbia.
Kulikuwa na uzi wa tukio hilo humu. Niliandika comment kadhaa za kulaani waliozembea hadi hali ile kutokea.
link yake naiombaMie nilikuwa mikoani kikāzi. Mke wangu na watoto walikimbia toka Kipunguni hadi Kibangu usiku huo. Kwa hakika mtu hawezi kulizidi bomu spidi - lakini walijiwa na wazo la kukimbia.
Kulikuwa na uzi wa tukio hilo humu. Niliandika comment kadhaa za kulaani waliozembea hadi hali ile kutokea.
link yake naiomba