Tukumbushane yaliyojiri "school" baraza kipindi cha primary school

Mimi na umbea wangu kuna uvumi niliueneza school,shule nzima ikawa na attention kubwa,walimu walichanganyikiwa!

Wiki chache baadae tukawa tunafunga shule hivyo kukawa na school baraza,si ndipo wanafunzi wakanitaja ni mimi niliyeeneza uvumi?
Hahahaaaaaa uzuri mwl. Mkuu alikuwa ananipenda sana coz nilikuwa mjanja mjanja na kichwani nilikuwa njema akasema ataniita anipe adhabu wala hakuniita wala nini (nilijua tu kanikwepesha adhabu kiaina)

Dah R.IP Mwl. wangu kipenzi,will always love you. [emoji24] [emoji24]
Hahahaahahhahaha ungesoma kolomije ungekma hahah
 
Ulizid utundu na wewe
Hahahaha nilichapwa nili drop darasan nakumbuka nilikua wa 48 kutka kumi bora hahah(jamii forum kila mtu alikua kumi bora hapa usiniulize)
 
Mimi na umbea wangu kuna uvumi niliueneza school,shule nzima ikawa na attention kubwa,walimu walichanganyikiwa!

Wiki chache baadae tukawa tunafunga shule hivyo kukawa na school baraza,si ndipo wanafunzi wakanitaja ni mimi niliyeeneza uvumi?
Hahahaaaaaa uzuri mwl. Mkuu alikuwa ananipenda sana coz nilikuwa mjanja mjanja na kichwani nilikuwa njema akasema ataniita anipe adhabu wala hakuniita wala nini (nilijua tu kanikwepesha adhabu kiaina)

Dah R.IP Mwl. wangu kipenzi,will always love you. [emoji24] [emoji24]
ahaaaa kumbe umbea umezaliwa nao eeh
 
Aiseeee siku moja tulitoka kantini tumechele (migahawa ya mitaani in st kayumba sec).
Bwana wee tukakamatwa, tukapelekwa sehem panaitwa uwanja wa damu (ukipelekwa pale unapigwa mpaka utoke damu ndio unaachiwa) Basi bwana tukapiga magoti, mwalimu akatupa azabu ya kupiga makofi. Tukapiga weeeeeeee makofi kama saa moja na nusu. Mikono ikajaa vidonge donge vya damu kwa ndani. Wacha tuanze kulia vidume wazimaa sasa mwalimu akatupa kelbu tatu tatu kila mtu (stiki3).
Akatupitisha kila darasa tuko tunapiga makofi huku tunaimba sisi ni wajinga, sisi ni wajingaaa. Nikakutanisha macho na kamchepuko wewe na miaibu yangu nikainamisha lisura langu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha nilichapwa nili drop darasan nakumbuka nilikua wa 48 kutka kumi bora hahah(jamii forum kila mtu alikua kumi bora hapa usiniulize)
Ha ha ha ha wewe tena hujawah kufel kabisa namba yako moja mpka tatu bas
 
Back
Top Bottom