Tukumbushe jina lako la utani

Silent killer

Hili ni la secondary..sababu nafikiri zilikuwa mbili
1.Nilikuwa mpolee,mkimya kupitiliza,nikikaa darasani ni kimyaaaa na sinyanyuki katika seat yangu bila sababu ya msingi(seat ya nyuma kabisa)hadi muda wa kuondoka nyumbani

2.Teacher wa maths alikuwa anajua balaa langu katika somo lake (sijifii ni kweli nilikuwa good katika math) yani akiniita mbele nikafanye swali napita taratibu kimya kimya hadi ubaoni nafanya swali kimya kimya narudi kukaa
 
Patiriki...baada ya kwenda na mafrend kwa bibi then wakasikia bibi ananiita patiriki instead Patrick
other, sangatiti,Tuntufye(Tuntu),Mirambo,spiderman,Mr.Beans all family member+others wanadai nmefanana na Mr.Beans nikkunja ndita
 
Nikupe swali la math?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka enzi hizo kitaa niliitwa captain dinho kutokana na kusakata kabumbu na ile kuwa disminder. Secondary niliitwa 'ufollicle' a.k.a ufoliko kutokana na kufuga afro. Wengine waliniita chalii kutokana na kutokea chugaland mpaka leo watu wengi nilioskuli nao hawajuagi jina langu halisi zaidi ya chalii
 
nimelipenda silent killer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…