Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Nilikuwa kafupi sana jamani na kukwea kwenye miembe ilikuwa ndo habari zangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa kafupi sana jamani na kukwea kwenye miembe ilikuwa ndo habari zangu!
ahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mods mnqonaje tumtumbue huyu mtu
Silent killer
Hili ni la secondary..sababu nafikiri zilikuwa mbili
1.Nilikuwa mpolee,mkimya kupitiliza,nikikaa darasani ni kimyaaaa na sinyanyuki katika seat yangu bila sababu ya msingi(seat ya nyuma kabisa)hadi muda wa kuondoka nyumbani
2.Teacher wa maths alikuwa anajua balaa langu katika somo lake (sijifii ni kweli nilikuwa good katika math) yani akiniita mbele nikafanye swali napita taratibu kimya kimya hadi ubaoni nafanya swali kimya kimya narudi kukaa
We jamaa unaonekana ni mweusi balaa!Black
Akon
military boot
KIWI
Charcol
Mathematician
By the way I ne'er had a fight with anybody,i was happy and diplomat to those who joked me and at the end of time all names gone.
Hahahaa golden days
Usinipe
Upo lindoni leo?Usinipe
Week end hakuna kulalaUpo lindoni leo?
Hahaha haya bana enjoy weekendWeek end hakuna kulala
Nawewe enjoy chalii😊Hahaha haya bana enjoy weekend
Haina daz mamalaiNawewe enjoy chalii😊
Hahahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nisamehe, nilijuaga wewe ni dume mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sakayo bana
nimelipenda silent killerSilent killer