Tukumbushie kidogo misosi ya kwetu

Chisongovyoda napenda sana Jan to Dec kama kawaida
 

hii adhabu sasa
 
ukinifanyia ngararimu na maziwa ya mtindi ni kwereh
 
Matoke ya bukoba na mboju jamii ya kambale awe mbichi ndo apikwe weee na wapakulie kwenye majani ya mgomba!!!
 
nikipata ugali wa viazi (UFUGE) na nyama ya kuku wa kienyeji aaaah basi umeniua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…