Tukumbushie kidogo misosi ya kwetu

ugali unga wa kikobhole na nguniani iliyotiwa kipome hapo mimi mguu juu
ah kumbe nawe ni mwalafyale IKIPOME loh ukila lazima uwe na mswaki wa mti kinavyoshika kwenye meno na kwenye koo ,kinanikumbusha enzi za akina baba zetu enzi hizo anapoenda shule bording Masukulu au Mpunguso mama zao(bibi zetu) walikuwa wanawatayarishia IKIPOME hiyo ndio ilikuwa menu ya kula akiwa safarini kwenda shule(kwa miguu) na pia ndio kilikuwa cha kulia Mbalaga akifika boarding
 
...kibambala na ugali toka kwa mtama mwekundu..lol
 
bambo... Upate ubende na ugali wa muhogo pamoja na malegha
 

sa kwanini mle machakula magumu hivyo,chooni inakuwaje?
 
Kitu kiporo cha ugali na uji hasubui utapenda ndugu mh nimemisi hiyo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…