MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 629
- 658
Habari wanajamvi, kwa wale wahenga na wafuatiliaji wa habari za showbiz za miaka hiyo leo tukumbushie kidogo story zilizokua 'hot' kipindi hicho, magazeti ya udaku kama Kiu, Uwazi, Ijumaa na Ijumaa wikienda, baadae likaja Sani ndio yalikua kama instagram yetu miaka hiyo, japo nilikua mdogo lakini bado niliweza kujua kilichoendelea
- Mnalikumbuka kundi la Al Qaeda ambalo lilihusisha wadada maarufu wa mjini ambapo mimi namkumbuka Amina Chifupa pekee akiwa miongoni (wengine siwakumbuki)
- Enzi ya mapedeshee wa miaka hiyo kina Medy Mpakanjia
- Sinta akiwa kwenye prime yake
- Kina dudubaya wa moto sana na mr nice
- Mitaa maarufu miaka hiyo ilikua Sinza, Kinondoni, Mwananyamala, Magomeni ( Almost matukio makubwa ya mastaa lazima hii mitaa ilikua ihusike)
- Enzi hizo Mairmatha Jesse akiwa staa na mtangazaji mkubwa tu