Tukumbushie Showbiz kitambo hicho

Tukumbushie Showbiz kitambo hicho

Story za shigongo zilijua kuniteka.... na kuchana lyrics za nyimbo kubandika kwenye daftari....
Enzi hizo nyimbo za kibongo.zilikua zinabamba sana maana zilikua kama story so unajikuta umekariri effortlessly ....

Daz baba nishakua mtu mzima mi
Sasa nahitaji mrembo wa kuishi nami
Kuzaa na kulea watoto nami
Kwenye shida raha avumilie nami
Asije nifanyia kama wa barua
Akasababisha nijaribu kujia
Anipe mapenzi nimpe mapenzi
Nae awe wangu asinifanyie ushenziiiiii

Walahi it must be have been nice being man back then..... mapenzi yalikua very real, siku hizi vijana wanahangaika tu na UTI mjini humu
 
Hii stori nayo inaelekeana na miaka anayozungumzia mleta uzi kweli?
Manake Nandy na ile chupi ni 2018/2019 hapo

Alivyoorodhesha mleta mada binafsi najua jua kuhusu Dudu baya hao wengine sikumbuki vizuri
Wameshaingilia wavulana wa 1998,1999 na 2000......mtoa Uzi hapo anazungimzia....miaka ya 2003 mpaka 2009 hukooo
 
Sinta na Nature, Shindano la mfalme wa Rhymes, Wakati huo miss Tanzania ya Hashim Lundenga ilikuwa ya moto sana na ikitoa vyuma hasa hata kichwani ingawa ilizingirwa na scandal za kutosha, Kaole Sanaa Group wakiwa na watu kama Ray, Muhogo Mchungu, Bambo, Swebe, Kibakuli nadhani Kina mzee Jengua, Tunda na wale watu wa kikundi cha Mambo hayo nadhani huku ndo kina Joti na Mpoki walitokea kama sijachanganya madesa bila kusahau tamthiliya ya Tausi toka Mombasa Kenya, Mziki wa hip hop ulikuwa umeanza kuchukua nafasi katika masikio ya watu, watu kama Prof Jay, GK na East Coast, Jay mo, Afande sele, Solo thang wakati huo kulikuwa na couple matata nyingine ya Jaffarymes na Shyrose Bhanji wake huku mziki wa dance ukiwa wa moto mno bila kusahau mduara kwa mbaali. Nikomee hapo kwa sasa, Daaah those days, ila Shigongo bana na story zake, mimi na familia yetu alitukamata na story yake ya I WILL NEVER HURT YOU AGAIN kwenye gazeti la IJUMAA.
 
Sinta na Nature, Shindano la mfalme wa Rhymes, Wakati huo miss Tanzania ya Hashim Lundenga ilikuwa ya moto sana na ikitoa vyuma hasa hata kichwani ingawa ilizingirwa na scandal za kutosha, Kaole Sanaa Group wakiwa na watu kama Ray, Muhogo Mchungu, Bambo, Swebe, Kibakuli nadhani Kina mzee Jengua, Tunda na wale watu wa kikundi cha Mambo hayo nadhani huku ndo kina Joti na Mpoki walitokea kama sijachanganya madesa bila kusahau tamthiliya ya Tausi toka Mombasa Kenya, Mziki wa hip hop ulikuwa umeanza kuchukua nafasi katika masikio ya watu, watu kama Prof Jay, GK na East Coast, Jay mo, Afande sele, Solo thang wakati huo kulikuwa na couple matata nyingine ya Jaffarymes na Shyrose Bhanji wake huku mziki wa dance ukiwa wa moto mno bila kusahau mduara kwa mbaali. Nikomee hapo kwa sasa, Daaah those days, ila Shigongo bana na story zake, mimi na familia yetu alitukamata na story yake ya I WILL NEVER HURT YOU AGAIN kwenye gazeti la IJUM

Sinta na Nature, Shindano la mfalme wa Rhymes, Wakati huo miss Tanzania ya Hashim Lundenga ilikuwa ya moto sana na ikitoa vyuma hasa hata kichwani ingawa ilizingirwa na scandal za kutosha, Kaole Sanaa Group wakiwa na watu kama Ray, Muhogo Mchungu, Bambo, Swebe, Kibakuli nadhani Kina mzee Jengua, Tunda na wale watu wa kikundi cha Mambo hayo nadhani huku ndo kina Joti na Mpoki walitokea kama sijachanganya madesa bila kusahau tamthiliya ya Tausi toka Mombasa Kenya, Mziki wa hip hop ulikuwa umeanza kuchukua nafasi katika masikio ya watu, watu kama Prof Jay, GK na East Coast, Jay mo, Afande sele, Solo thang wakati huo kulikuwa na couple matata nyingine ya Jaffarymes na Shyrose Bhanji wake huku mziki wa dance ukiwa wa moto mno bila kusahau mduara kwa mbaali. Nikomee hapo kwa sasa, Daaah those days, ila Shigongo bana na story zake, mimi na familia yetu alitukamata na story yake ya I WILL NEVER HURT YOU AGAIN kwenye gazeti la IJUMAA.
Mkuu unaikumbuka Hip-hop summit ya Sugu?
 
Kiukweli mkuu, ukiachana na wananiita sugu na ile watu nazo pesa, Sugu moto chini, ngoma nyingine za sugu sikuwa nazielewa aisee, labda kwasababu nilianza kuifatilia bongo flavor mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambapo tayari tasnia ilikuwa imeshaanza kuwa na vijana wengi na wenye ladha tofauti katika michano na uandishi.
 
hii ilikua ni event maalumu ya sugu kwa ajili ya wasanii wa hip hop miaka hiyo baada ya beef kishika kasi sana, ilikutanisha wasanii almost wote wa rap, ilikua arpund early 2000's
 
Sinta na Nature, Shindano la mfalme wa Rhymes, Wakati huo miss Tanzania ya Hashim Lundenga ilikuwa ya moto sana na ikitoa vyuma hasa hata kichwani ingawa ilizingirwa na scandal za kutosha, Kaole Sanaa Group wakiwa na watu kama Ray, Muhogo Mchungu, Bambo, Swebe, Kibakuli nadhani Kina mzee Jengua, Tunda na wale watu wa kikundi cha Mambo hayo nadhani huku ndo kina Joti na Mpoki walitokea kama sijachanganya madesa bila kusahau tamthiliya ya Tausi toka Mombasa Kenya, Mziki wa hip hop ulikuwa umeanza kuchukua nafasi katika masikio ya watu, watu kama Prof Jay, GK na East Coast, Jay mo, Afande sele, Solo thang wakati huo kulikuwa na couple matata nyingine ya Jaffarymes na Shyrose Bhanji wake huku mziki wa dance ukiwa wa moto mno bila kusahau mduara kwa mbaali. Nikomee hapo kwa sasa, Daaah those days, ila Shigongo bana na story zake, mimi na familia yetu alitukamata na story yake ya I WILL NEVER HURT YOU AGAIN kwenye gazeti la IJUMAA.
Kuvunjika kwa Tmk wanaume, mapanga shaaa
 
Kwenye story za udaku zamani nakumbuka Jackline Wolper alikuwa chuma. Kipindi hicho kabla hajanenepa miguu na Diamond na Harmonize bado walikuwa vishuka tu
Jaq wolper alihongwa BMW X6 na Dallas Wheels.
 
Back
Top Bottom