togetherTight
Member
- May 21, 2017
- 99
- 100
Nafurahishwa na mitizamo na pani zilizonazo kambi mbili tofauti zinazotunishiana vifua kuhusiana na kuukubali au kutokuukubali uongozi wa Mwendazake John Joseph Pombe Magufuli.
Nafurahi kwamba kuna ustahimilifu mkubwa baina ya kambi hizi mbili bila kusababishiana madhara japo yapo kidogo.
Kwa mtazamo wangu uwiano wa udhabiti kati pande hizo mbili ni 70%kwa 30%.
Nani ana 70 na nani 30? Tuonane 2025!