Tukutane hapa kwenye comment baada ya mechi ya yanga Na USM Alger

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Ok
 
Attachments

  • Screenshot_20230602_221909_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
    44.3 KB · Views: 1
Tusipotezeane muda tafadhali Mwarabu ( USM Alger FC ) ndiyo atakuwa Bingwa wa Kombe hili la CAFCC kwa leo tena Kuifunga Yanga SC kutoka Tanzania huko Kwao nchini Algeria.
 
Yanga ataishia kuwa runner up na siyo kuwa bingwa.
 
Tusipotezeane muda tafadhali Mwarabu ( USM Alger FC ) ndiyo atakuwa Bingwa wa Kombe hili la CAFCC kwa leo tena Kuifunga Yanga SC kutoka Tanzania huko Kwao nchini Algeria.
Ndugu yangu Mimi sio mjinga najua nikisemacho sio kwamba Na ropoka au natumia ushabiki najua ninacho kisema Na ninaelewa pia sitaki kuwa Na maneno mengi naomba tu Mungu atupe nguvu siku ya leo ili tukutane hapa kwenye uzi huu baada ya mechi ya yanga Na USM Alger
 
Yanga ataishia kuwa runner up na siyo kuwa bingwa.
Ok Sawa ndugu yangu ila naomba tu Mungu akupe nguvu siku ya leo ili jioni tukutane hapa kwenye uzi huu Kuja kudhibitisha je yametimia au hapana
 
Labda kuwatoa usingizi wasilale Kwa kusherehekea usiku wa kupata kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…