Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu Mimi sio mjinga najua nikisemacho sio kwamba Na ropoka au natumia ushabiki najua ninacho kisema Na ninaelewa pia sitaki kuwa Na maneno mengi naomba tu Mungu atupe nguvu siku ya leo ili tukutane hapa kwenye uzi huu baada ya mechi ya yanga Na USM AlgerTusipotezeane muda tafadhali Mwarabu ( USM Alger FC ) ndiyo atakuwa Bingwa wa Kombe hili la CAFCC kwa leo tena Kuifunga Yanga SC kutoka Tanzania huko Kwao nchini Algeria.