Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Wakuu nimeona niusogeze huu uzi karibu tuweze kupeana A-Z kwa wale wapenzi wa kucheza magemu.
Kwa upande wangu, nilitegemea nitaacha nikifikia ukubwani lakini mpaka sasa najikuta bado nipo. Nafikiri ni starehe yangu nyingine hapa duniani.
Njooni tujuane na tupeane hint mbalimbali na pia tushare michezo yoyote ya Game uliyocheza mpaka sasa, either kwa PS4, PS3, PS2, PS1, X-BOX, kwa laptop ama kwa simu janja.
Karibuni.