Tukutane Hapa Machizi Game Wenzangu

Tukutane Hapa Machizi Game Wenzangu

Game nimecheza sana utotoni lakini siku hizi majukumu yamebana naweza nikapitisha hata miezi sichezi. Kwenye orodha yangu nadhani haya ndiyo magemu ambayo niliyapenda sana miaka ya nyuma:

1. God of war 2 ya PS2
2. Mortal Kombat 9 ya PS3
3. Donkey Kong ya Nintendo Game boy
4. Looney Tunes Racing ya PS1
5. Smack-Down VS Raw 2007 ya PS2
6. Smack-Down ya PS1
7. Devil May Cry 3 ya PS2
8. Soul Calibur 3 ya PS2
9. Pro Evolution Soccer 2007 ya XBOX
10. Tomorrow Never Dies 007 ya PS1
11. Command and Conquer Series ya PC
12. Tekken ya PS2
13. Street Fighter X Tekken ya PS3
 
Game nimecheza sana utotoni lakini siku hizi majukumu yamebana naweza nikapitisha hata miezi sichezi. Kwenye orodha yangu nadhani haya ndiyo magemu ambayo niliyapenda sana miaka ya nyuma:

1. God of war 2 ya PS2
2. Mortal Kombat 9 ya PS3
3. Donkey Kong ya Nintendo Game boy
4. Looney Tunes Racing ya PS1
5. Smack-Down VS Raw 2007 ya PS2
6. Smack-Down ya PS1
7. Devil May Cry 3 ya PS2
8. Soul Calibur 3 ya PS2
9. Pro Evolution Soccer 2007 ya XBOX
10. Tomorrow Never Dies 007 ya PS1
11. Command and Conquer Series ya PC
12. Tekken ya PS2
13. Street Fighter X Tekken ya PS3
Resident Evil vipi hukugusa kabisa?
 
Mimi kitambo hicho nishakesha sana kwa wanangu kipindi tupo wadogo kucheza Super Mario tu😃😃
 
VP ntapayaje dream league soccer ambayo haija hackiwa 2020
Wakuu nimeona niusogeze huu uzi karibu tuweze kupeana A-Z kwa wale wapenzi wa kucheza magemu.

Kwa upande wangu, nilitegemea nitaacha nikifikia ukubwani lakini mpaka sasa najikuta bado nipo. Nafikiri ni starehe yangu nyingine hapa duniani.

Njooni tujuane na tupeane hint mbalimbali na pia tushare michezo yoyote ya Game uliyocheza mpaka sasa, either kwa PS4, PS3, PS2, PS1, X-BOX, kwa laptop ama kwa simu janja.

Karibuni.View attachment 1356374

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images (2).jpg

Hii vipi kwa wadau wa PS4, kuna alijaribu kucheza?
#CallOfDuty
 
Game nimecheza sana utotoni lakini siku hizi majukumu yamebana naweza nikapitisha hata miezi sichezi. Kwenye orodha yangu nadhani haya ndiyo magemu ambayo niliyapenda sana miaka ya nyuma:

1. God of war 2 ya PS2
2. Mortal Kombat 9 ya PS3
3. Donkey Kong ya Nintendo Game boy
4. Looney Tunes Racing ya PS1
5. Smack-Down VS Raw 2007 ya PS2
6. Smack-Down ya PS1
7. Devil May Cry 3 ya PS2
8. Soul Calibur 3 ya PS2
9. Pro Evolution Soccer 2007 ya XBOX
10. Tomorrow Never Dies 007 ya PS1
11. Command and Conquer Series ya PC
12. Tekken ya PS2
13. Street Fighter X Tekken ya PS3

Bado sana kiongoz 😁 kwa game hizo..
 
Yaan natamani tukutane kipigwe hata league watu tukomeshane. Ila kwangu Game bora ukiacha na football ni God's of War.
 
images (5).jpg
images (4).jpg
images (3).jpg


Mjomba Dembele nae ni chizi magemu humwambii kitu.

Hapo yuko tayari asile, kulala saa 8 na kesho yake unakuta haendi mazoezini
 
Back
Top Bottom