Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Aisee mi Magame siachi hata nikioa, moja ya vigezo mke ni sharti awe gamer
Resident Evil vipi hukugusa kabisa?Game nimecheza sana utotoni lakini siku hizi majukumu yamebana naweza nikapitisha hata miezi sichezi. Kwenye orodha yangu nadhani haya ndiyo magemu ambayo niliyapenda sana miaka ya nyuma:
1. God of war 2 ya PS2
2. Mortal Kombat 9 ya PS3
3. Donkey Kong ya Nintendo Game boy
4. Looney Tunes Racing ya PS1
5. Smack-Down VS Raw 2007 ya PS2
6. Smack-Down ya PS1
7. Devil May Cry 3 ya PS2
8. Soul Calibur 3 ya PS2
9. Pro Evolution Soccer 2007 ya XBOX
10. Tomorrow Never Dies 007 ya PS1
11. Command and Conquer Series ya PC
12. Tekken ya PS2
13. Street Fighter X Tekken ya PS3
Resident Evil ilikuwepo lakini sikucheza.Resident Evil vipi hukugusa kabisa?
Mario Bros ya kwenye Nintendo 64 ndiyo ilikuwa moto sana.Mimi kitambo hicho nishakesha sana kwa wanangu kipindi tupo wadogo kucheza Super Mario tu[emoji2][emoji2]
Nakubali nakubaliπMario Bros ya kwenye Nintendo 64 ndiyo ilikuwa moto sana.
Wakuu nimeona niusogeze huu uzi karibu tuweze kupeana A-Z kwa wale wapenzi wa kucheza magemu.
Kwa upande wangu, nilitegemea nitaacha nikifikia ukubwani lakini mpaka sasa najikuta bado nipo. Nafikiri ni starehe yangu nyingine hapa duniani.
Njooni tujuane na tupeane hint mbalimbali na pia tushare michezo yoyote ya Game uliyocheza mpaka sasa, either kwa PS4, PS3, PS2, PS1, X-BOX, kwa laptop ama kwa simu janja.
Karibuni.View attachment 1356374
Dah! Ebuana mimi Dream League 2020 nachezea Online mzee.
Call of Duty za mwisho kucheza ni zile za Savimbi na ile ya Cuba kumuua Castro. Nikipata nafasi ntaitafuta hii pamoja na Metal Gear.
Game nimecheza sana utotoni lakini siku hizi majukumu yamebana naweza nikapitisha hata miezi sichezi. Kwenye orodha yangu nadhani haya ndiyo magemu ambayo niliyapenda sana miaka ya nyuma:
1. God of war 2 ya PS2
2. Mortal Kombat 9 ya PS3
3. Donkey Kong ya Nintendo Game boy
4. Looney Tunes Racing ya PS1
5. Smack-Down VS Raw 2007 ya PS2
6. Smack-Down ya PS1
7. Devil May Cry 3 ya PS2
8. Soul Calibur 3 ya PS2
9. Pro Evolution Soccer 2007 ya XBOX
10. Tomorrow Never Dies 007 ya PS1
11. Command and Conquer Series ya PC
12. Tekken ya PS2
13. Street Fighter X Tekken ya PS3
ππππ nipo napiga jaramba hapa napasha pasha misuri Ila umenifurahisha sana mwamba ππππππ
Mzee kama ni mpenzi wa PS4 tafuta hiyo kitu hapo juu yakuitwa Call of Duty.Yaan natamani tukutane kipigwe hata league watu tukomeshane. Ila kwangu Game bora ukiacha na football ni God's of War.
Naijua nilishawahi kuona watu wakicheza na ilifanya vzr sana katika ulimwengu wa game lakini siku wahi cheza hiyo kitu.Mzee kama ni mpenzi wa PS4 tafuta hiyo kitu hapo juu yakuitwa Call of Duty.
Unaweza usile siku nzima
Nashukuru mkuu. Game wapi leo ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo napiga jaramba hapa napasha pasha misuri Ila umenifurahisha sana mwamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Leo sina game lakini kesho nina league na wanangu wa kivukoni ndio siku yangu itaishia huko.Nashukuru mkuu. Game wapi leo ?