Ndyo maana tunashauriwa s vyema kuweka ndg na watt zako, huku huku ndpo wanapotokea had mashoga na wasagaji.
Kuna wanaosagana na mama zao wadogo, kuna wanaolawitiwa na wajomba zao. Hili swala unaweza kuliona la kawaida tu lkn s kweli, lna madhara makubwa hapo mbeleni.
Sote s wakamilifu, lkn hii istufanye kufanya makosa ya kilazma. Wazaz lea watt zako mwenyewe, s kupeleka kwa ndgu na ndg wakija kwako wakalale kwny nyumba ya nje au guest au uwaelezee kuwa hakuna chumba cha wageni nyumban kwako ili kuepusha mambo kama haya.
S wote wataelezea kwa kufurahia hiv, wengne wamepata majeraha makubwa mnoo na vtendo hv mnavyovpigia debe na kuvchukulia n vya kawaida. Sote tuna mapungufu lkn haimaanish tutende vsvyo kisa tu ss s wakamilifu.