MIMI SIKUMTAFUNA ILA ILIKUWA BADO KIDOGO ALIWE.
Ni mtoto wa dada yangu kabisa na ilishatokea mara mbili tofauti.
Mara ya kwanza nakumbuka home waliondoka wote tukabaki wawili tu, na kutokana na mazoea tuliyokuwa nayo na kiumri tumepishana miaka miwili tulitaniana ikafikia hatua tukaahidiana tunyanduane jioni.
Hiyo ilikuwa ni baada ya kumchezea sana mchana mpaka akalowesha chini anaenda kuchange nguo namuona. Ee MUNGU unisamehe[emoji120][emoji120].
Mara ya pili nakumbuka home tulipata msiba wa bibi sasa baada ya discussion ya muda mrefu home walidecide mim nibaki nilinde mji wao wakiwa wanasafiri.
Kipindi hicho yule bibie yeye alikuwa anakaa mbezi kwa baba yake. So ile jioni nilimtaarifu kuwa bibi nyanya wake amefariki akaulizia utaratibu nikamwambia bibi amefariki kijijini so kesho wanaondoka, akasema hawezi kuja leo(yaani siku hyo jioni) ila atakuja kesho yake, nikamwambia hata ukija itakuwa kazi bure, akasema nitakuja hvyohvyo.
Kesho yake familia imesafiri, mim mchana naandaa mazingira ya msosi, nikawa nimetoka nimeenda gengeni kununua mazaga narudi nakuta missed call tatu kucheki ni yeye nikampigia akacomplain kwamba kwann naacha sim ndan bt yakaisha.
Akaniambia yupo njian anakuja nikasema fresh. Amekuja nikampatia kanga ya mdogo wangu akavaa tukapiga stor baadae akaondoka, namim nikasepa ila nikawah kurud baadae na yeye akarud.
Sasa usiku tumepiga stor mpaka saa 7 nikamwambia akalale chumbani kwa mdogo wangu akagoma eti tukalale wote chumbani kwangu nikamgomea aisee. Tumesumbuana sana baada ya kunilazimisha sana nikamwambia basi tulale wote sebuleni nikamkubalia.
Usiku alinisumbua sana ila sikumtafuna. Asante MUNGU kwa kuniepusha na balaa.[emoji120][emoji120][emoji120]