Haitasaidia kitu, badala yake tutajidhalilisha tu makanisani, wakati tunajua hatutaacha, nikimuona tu binamu yangu mwili wote una relax na hata tukichati tu aah, yeye ashashindwa kuwa wachumba hata akipata leo kesho anamuacha ananihitaji mm.
Kwa mfano chuoni, wenzie wananifaham kama ndie mmewe, nikifika tu aaah babaa kafika jamani duniani kuna mengi ya ajabu, najilaumu kwanini nilianza kudate na binamu jamani.
Na ni ngumi nishampiga kweli lakini hatuachani, kuna kipindi alikuja kwangu akitokea shule alikuwa form four nilimpiga hadi akazimia, alilazwa wiki wodini lkn no kuachana jamani nilijiletea janga.
Nawashauri, kwa wale ndugu ambao hawajaanza wasije wakathubutu ni tamu ni hatari na utapata taabu sana, utakosana na kila mtu, tulianza kwa kuficha bt ilifika sehemu tukashindwa kuficha, ikawa ni live sasa hadi leo hii.