Na uwe
Nina binamu ni handsome balaa
Tall dark
Kuna wakati akabamba sijui wapi picha yangu, af ilikuwa muda sijaonana nae.
Akanitumia, anasema siku hizi umekuwa.
Nikawa najichekesha na mm
Siku nikamtext.. we dogo upo
Uwii akasema dogo nipe uone
Nilishtukaa [emoji15][emoji15]
Nikajiuliza, huyu mbona hana adabu?
Sikumjibu.. akawa akinitext sijibu, mpk alivyoacha
Ndugu mwingine, tena wa karibu sanaa
Akaleta za kuleta
Jamanii
Nilichefuka nikamchukia, kwake nikakata mguu.
Kumbe akajaga mtongoza na mdogowangu, dogo ye akaenda kusema kwa mama.
Hiyo siku mama ananipigia anauliza flan kakutongoza? Aibu naona kusema,,
mama anasema unaona aibu? Vitu vya hivyo sio vya kuonea aibu, wanaume ni washenzi sana.
Nikamwambia me mkubwa nilishamkatalia na ndio maana unaona hata mazoea nae sina. Namkwepa.
Basi mama akatuambia tu fear men hata kama ni baba ako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiufupi ndugu mimi nehiii
Hata kutongozwa na mtu nisiyemtarajia uwa nachukia [emoji23][emoji23][emoji23]