Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 7,035
- 9,279
Hahahahahaaaaaa na ww yani ulikua ukomi kutembea usikuTandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaaaaa na ww yani ulikua ukomi kutembea usikuTandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana
Itakua maana kama wale wanaovamia mabank hawawezi kua mashoga hivi
Hahahahahaah hahahahahahaahTandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana
ilikuaje wakafa?Kwa ufupi:Walinikaba na kupora simu na fedha watu kama sita hivi. Niliwatambua wawili. Mungu nisamehe. Niliwakuta Ubungo terminal 2003.Mmoja alikufa palepale. Yule mmoja alitoroka tukampata Makambako 2005.Alichezea visu vya tumbo akatutajia waliobaki. Mwaka uliofuata walikuja wao na wazazi wao kuomba msamaha na kurudisha walichopora. It was too late! Sijui kilichoendelea ila I feel so good hawapo duniani. Nilewe kwa hela zangu,halafu unikabe na kuniachia alama za maisha? Something bad gonna happen! 😂😂😂😂
We got rid of those modafantaziaz!ilikuaje wakafa?
Hahahahah huyu sasa ndio kidume ndago baba LA baba kama unaye hadi Leo embu MPE mambo matamu usiku wa Leo hahahahIla jamani wanaume wanaroho ngumu!!!!!! Nilimwambia tulock tu milango tujifungie tusubiri hatma yetu kama watakuja kuvunja vioo watukute ndani. Alinijibu kwa ukali "Sifi kiboya" yaani hizo discussion fupi zilifanyika kama tunaugomvi maana mi nilishapaniki... acheni jamani uwii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana
duu! huyo jasiri,na wewe pia jasiri mama.Mimi ningeshaanguka kwa preshaIla jamani wanaume wanaroho ngumu!!!!!! Nilimwambia tulock tu milango tujifungie tusubiri hatma yetu kama watakuja kuvunja vioo watukute ndani. Alinijibu kwa ukali "Sifi kiboya" yaani hizo discussion fupi zilifanyika kama tunaugomvi maana mi nilishapaniki... acheni jamani uwii
Nitawapa mbinu za kukabiliana nasi.Msicomment popote, nyie someni tu huku mkijaribu kucheki na kukumbukia kama kuna tukio ulihusika.
kwa kweli.na sijui alikua anayapataje na kuwaua
mliwauwaje?We got rid of those modafantaziaz!