The story was:Tulikuwa na kawaida ya kupiga maji kwenye baa moja ipo mji mmoja Nyanda za juu kusini. Tulipiga "mahela " Botswana ya kutosha.Ikawa ni kutumia tu. Kumbe wale wahuni wanatuchorea ramani tu. Nikajichanganya. Niliwaacha jamaa (kutaka kutoroka nikalale maana kawaida tulikuwa tunaanza kupiga maji saa 9:00hrs/asubuhi )mkuu ni sim tu uliibiwa au dem?
Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu,,, binafsi nimewai kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi, saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, siku sita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
unaweza kushare mawili matatu kama umewai kukumbwa na mswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
Bora mmoja wenu angesema ana ni miss na Mimi..[emoji847][emoji847]
Haha sikuwa nimekuona Chief ...nime kumiss piaBora mmoja wenu angesema ana ni miss na Mimi..[emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa 2003 hadi 2005duh
lakini inaonekana walikufa nyakati tofauti.mlikua mnawawinda tokea hiyo 2013 mpaka 2015
Mkuu ebu lete picha halisiUbungo mataa lile gari la crdb, nlikuwa nyuma yake kwenye shuttle tunaelekea mabibo hostel, nlitsman kukimbia ila konda akatuzuia
Sent using Jamii Forums mobile app
elezea vizurUbungo mataa lile gari la crdb, nlikuwa nyuma yake kwenye shuttle tunaelekea mabibo hostel, nlitsman kukimbia ila konda akatuzuia
Sent using Jamii Forums mobile app
We hujakutana naoEndeleeeni basii
Naingia kwenye usingizi mnono..[emoji25][emoji25], good night, have Sweet dreams
Unaamini kila mtu anapajua,unaamini hilo gari la crdb kila mtu analijua?Ubungo mataa lile gari la crdb, nlikuwa nyuma yake kwenye shuttle tunaelekea mabibo hostel, nlitsman kukimbia ila konda akatuzuia
Sent using Jamii Forums mobile app
majirani walikufa?mie mwaka 2009 mwaka mpya walikuja njemba zaidi ya 10,nakumbuka mzee ndo siku alikuwa ameuza spacio yake kwa milioni 9 hata bank alikuwa hajaipeleka wakavunja mlango but kabla walipiga risasi moja juu mi nlivyoskia tu fasta nkapanda juu ya dari nlipanda vipi mpka leo sikumbuki basi wakafanya yao mzee alikuwa analia kama mtoto,asubuhi akaitwa mpemba akafanya dua yake bhana dah wapemba siyo watu wazuri maana baada ya dua tu jirani zetu zaidi ya wa 3 waliondoka siku ile ile mpka jioni vitu vyote vilirudi na faini juu
heahima kwenu wapemba
Sent from my iPhone using JamiiForums
mpaka.kuwato..mbesha motoThe story was:Tulikuwa na kawaida ya kupiga maji kwenye baa moja ipo mji mmoja Nyanda za juu kusini. Tulipiga "mahela " Botswana ya kutosha.Ikawa ni kutumia tu. Kumbe wale wahuni wanatuchorea ramani tu. Nikajichanganya. Niliwaacha jamaa (kutaka kutoroka nikalale maana kawaida tulikuwa tunaanza kupiga maji saa 9:00hrs/asubuhi )
Kufika nje uchochoroni kumbe wale maninja uchwara walikuwa wananifuatilia. Ndiyo wakanikaba na kuchukua nokia tochi na Tsh. 180,000/=Mwaka 2003 hiyo. That was the big money by that time. Jus' imagine 😱ne castle milk stout beer was 1100/=only!It was about money and my new cellphone and above all some respect! That's all!
Dah! Umenikumbusha manyanyaso ya lake trans jamaa walikuwa wananyanyasa abiria utadhani wamepanda bureIlikua kahama miaka ya 1995 hv, saa kumi alfajiri tunatoka home maeneo ya nyasubi tunaenda stand kupanda bus,wakati huo kuna bus mbili tu za kwenda mwanza lake trans na Chwezi,sasa tunatembea tunaelekea stand ile nyasubi ilikua na miembe mingi saaana mikubwa baba kashika bonge la rungu na tochi pia mabro wawili walikua wanatusindikiza na mbwa pia,tumefika mahali kwenye miembe jamaa zikatokea ziko 4,baba akasema kwa sauti USIKUUU kumbe kama ni mtu wa amani unatakiwa ujibu MCHANA yale majamaa hayakujibu,ghafla mbwa alipgwa bonge la fimbo, jamaa walikua na mapanga pia,sasa sisi tunapiga kelele mshua anakomaa nao,dah waliondoka na mabegi mawili lakin mmoja alipihwa rungu la kichwa akazirai so hiyo ikawa ndo rip yake coz wananzengo walikuja wakapiga wakachoma moto, siai safari ikaishia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hiyo ya kubeba kabati ni kiboko[emoji3][emoji3][emoji3]kabati ya namna gani hiyo aiseeeeUsiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu,,, binafsi nimewai kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi, saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, siku sita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
unaweza kushare mawili matatu kama umewai kukumbwa na mswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
Dah! Umenikumbusha manyanyaso ya lake trans jamaa walikuwa wananyanyasa abiria utadhani wamepanda bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa! Just imagine! Those skunks were doing some twerks onto 🔥 fire!mpaka.kuwato..mbesha moto