Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,045
- 28,216
Kutokana na mabadiriko ya sayansi na teknolojia kumekuwa na muingiliano mkubwa wa bidhaa mbali mbali.
Zipo bidhaa ambazo ni bora na ni original lakini pia zipo ambazo ni feki na bado unaweza kuuziwa kwa bei ile ile ya original.
Pia kuna bidhaa ambazo ni brand maarufu duniani lakini kuna feki zake pia ambazo ni ngumu zaidi kuzitambua.Mfano wa brands hizo ni Apple, Samsung, Sony, Hp, Dell, Huawei n. k. Nyingine ziko sekta ya madawa, usafiri, mavazi n. K
Kupitia uzi huu ningependa tujulishane wapi tunaweza pata bidhaa nzuri na kwa bei rahisi pia inayoendana na maisha ya kitanzania.Ikiwezekana tupate na picha pamoja na jina la sehemu ulipoipata bidhaa hiyo
Asanteni wakuu pia karibuni sana
#STAYSAFE