Trump nilimpenda ila aliniudhi alipoanza kuighasi Tanzania. Afadhali ameondokaTukio liko mubashara BBC, Ak jazira,CGTN, Sky news nk. nk
Sehemu mbalimbali nilizopita nimeshuhudia watanzania wakishuhudia sherehe hizi za kidemokrasia wakiwa katika kumbi za starehe kana kwamba wanaangalia mpira.
Maendeleo hayana vyama!