EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Msaada wa aina ya maswali ya usaili kada ya takwimu.
Tusaidiane hapa material ya kusoma na topics za kujiandaa.
Tusaidiane hapa material ya kusoma na topics za kujiandaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri wanakujaNje kidogo ya mada, naombeni maswali ya Human resources officer pia
Brother, notes za miaka 3 !!!Someni vitu vyote vinavyohusiana na kada zenu.
Kuanzia notes za shule/Chuo hadi mambo ya uzoefu wa kazi(yaani practise ya kada husika)
mkuu kweli mambo ni mengiNje kidogo ya mada, naombeni maswali ya Human resources officer pia
Fanya skimming..Brother, notes za miaka 3 !!!
Sana brother,mkuu kweli mambo ni mengi
Ndio, ila soma zaidi zinazohusiana na practise.Brother, notes za miaka 3 !!!
Hupati kazi
Naomba kujua kama matokeo yameshatoka ya writtenMsaada wa aina ya maswali ya usaili kada ya takwimu.
Tusaidiane hapa material ya kusoma na topics za kujiandaa.
Subiri wadau.Naomba kujua kama matokeo yameshatoka ya written
Kwa nin?Subiri wadau.
Mimi sikuruhusiwa kufanya mtihani
Sikuwa na vyetti ogKwa nin?