eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Jimbo la moshi mjini mpaka 2020 hakuna barabara inayostahili lami itakuwa hajapigwa lami,kuhusu shule sisi sasa hivi tunamalizia computer sio majengo tena,kuhusu hospitali moshi kila kituo cha afya kina ambulance shida ni wagonjwa tu, ushahidi wa hili hata alipokuja mei moshi hatukumwomba chochote,,,,,,hiyo ndiyo moshi ya CHADEMAWale wote wanaopenda kujua ni chama gani kinafanya poa katika majimbo kinachoyashikilia tukutane hapa kuelekea 2020
Je ni jimbo gani lina wananchi wasiyo na matumaini maji shida,hospitali shida, zahanati shida, shule za chekechea shida, shule za msingi shida, shule za secondary shida, chuo cha veta hakuna, chuo cha ualimu hakuna,
Tukutane hapa nani ana afadhali kuelekea 2020
Ni mbunge yupi analitendea haki jimbo lake huko lilipo
Vipi kuhusu jimbo la uncle zangu Lusinde na Ndugai ?Chadema ni chama cha wadeki mabarabara hakifai kuzungumuziwa mbele ya jamii ya watu wenye uelewa
Hongereni wana moshi mjiniJimbo la moshi mjini mpaka 2020 hakuna barabara inayostahili lami itakuwa hajapigwa lami,kuhusu shule sisi sasa hivi tunamalizia computer sio majengo tena,kuhusu hospitali moshi kila kituo cha afya kina ambulance shida ni wagonjwa tu, ushahidi wa hili hata alipokuja mei moshi hatukumwomba chochote,,,,,,hiyo ndiyo moshi ya CHADEMA
Mkuu hiyo sio mada hapaChadema ni chama cha kupuuzwa sana
Hiyo sio madaChadema ni chama cha wadeki mabarabara hakifai kuzungumuziwa mbele ya jamii ya watu wenye uelewa
Kwani weye hupendi usafi? Masisiemu sijui mkoje? Hata usafi hamtaki? Maketio yenu yamepauka.Chadema ni chama cha wadeki mabarabara hakifai kuzungumuziwa mbele ya jamii ya watu wenye uelewa
Hivi hata mwehu anaweza changia hoja?mimi nimeeleza kilichofanyika ndani ya jimbo,wewe unaleta matusi,kama si kweli jibu hoja si malumbanoChadema ni chama cha kupuuzwa sana
Kibajaji anapendelea baadhi ya kata sehem zingine toka kampeni hajatia mguuJamani anayelijua jimbo la Kibajaji na yule Ngamia yakoje??
Lini ulikuwa singida kijana wa Lumumba??Kwa masikitiko makubwa ninatoka jimbo la bwana mmoja wa cdm anayeongea sana pia ni rais wa TLS kasahau jimbo lake hali ni mbaya kuanzia huduma za afya, maji, shule n.k
Yaani jimbo zima vituo vya afya hakuna hata kimoja chenye uwezo wa kufanya operation zaidi ya tohara. Huwa najiuliza hela za jimbo huwa anazipeleka wapi maana hafanyi chochote zaidi ya kupiga porojo aonekane kwenye vyombo vya habati
SafiKwa masikitiko makubwa ninatoka jimbo la bwana mmoja wa cdm anayeongea sana pia ni rais wa TLS kasahau jimbo lake hali ni mbaya kuanzia huduma za afya, maji, shule n.k
Yaani jimbo zima vituo vya afya hakuna hata kimoja chenye uwezo wa kufanya operation zaidi ya tohara. Huwa najiuliza hela za jimbo huwa anazipeleka wapi maana hafanyi chochote zaidi ya kupiga porojo aonekane kwenye vyombo vya habati
Sema jimbo acha kuimba taarabu za kama shogaChadema ni chama cha wadeki mabarabara hakifai kuzungumuziwa mbele ya jamii ya watu wenye uelewa