eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Wale wote wanaopenda kujua ni chama gani kinafanya poa katika majimbo kinachoyashikilia tukutane hapa kuelekea 2020
Je ni jimbo gani lina wananchi wasiyo na matumaini maji shida,hospitali shida, zahanati shida, shule za chekechea shida, shule za msingi shida, shule za secondary shida, chuo cha veta hakuna, chuo cha ualimu hakuna,
Tukutane hapa nani ana afadhali kuelekea 2020
Ni mbunge yupi analitendea haki jimbo lake huko lilipo