Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Sio kweli kwamba wanawake wanawahi kuchoka, wako Wanaume pia wanawahi kuchoka, we kama mwanaume una-gundu na wanawake ukubali tu mambo ya kujifariji unatakiwa uachane nayo unakubali uhalisia maisha yanaendelea
Ni kweli wanawake wanawai kuchoka wakishazaa zaidi ya mtoto mmoja tena wanawake waki Afrika wanawai kuridhika wananenepa, mfano we watatufe wanawake mmliomaliza nao shule ya msingi ndiyo utajua ukweli.
 
Wanawake hawapendi kupigwa chini na hapo anapanda kukupiga chini wewe kwani hata sasa anasukumiwa mhogo wenye misuli.Tia bidii kutafuta hela na nafsi yako itapata wa kukufariji
 
Kuna kipindi nilikuwa guest na R sasa ile nimeshapiga cha mapepe natulia nianze kazi
mtoto akanishika shika paja akasema nywele zimekuwa kubwa kama za.. Alafu akashtuka, nikamuuliza kama za nani akasema basi tu
Nikakomaa naye mpaka saa saba usiku ndo akafunguka yote

Ima kutoka mbeya sitakuja kukusamehe
 
Aaaaah jamaa akikumbuka mbususu ya mke wake dozi anatembeza
 
kuna wajinga niliwakaribisha gheto wakakuta nna tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu mmoja alipotoka zanzibar) wakaenda mwambia boss nna tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi

zikaanza zengwe za boss, full kunichoma wanifukuze siku moja ndo kafunguka kwamba mie ni mwizi hadi nimenunua tv kubwa sana (tv yenyewe nilipewa bure)
kama hakuna ulazima wa wafanyakazi wenzio kufika kwako wasifike tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…