Nilichapiwaga bhana[emoji23]
Tulikuwa na crew yetu ya mtu 3 na kuna jamaa akawa anajenga ukaribu na sisi tukamkubali ajiunge
Sasa nilikua na pisi yangu ina tako kubwa sana, jamaa kujiunga na crew akaanza kuivizia, wanangu wakanipanga kila kitu,
siku moja nimesafiri nikakaa karibia mwezi kurudi naambiwa jamaa anakula, kumuuliza mshikaji akasema “demu wako
Malaya yani mtu akitaka anajipigia tu”
Dah niliumia ila nikasema siwezi kumkataa mshikaji kisa demu
Nikamuuliza demu akakataa kumbana vizuri akasema mshikaji alinipondea mpaka yeye akakubali….. nikasema sawa
Nilichofanya siku moja nikamuita demu geto, nikamuita na mshikaji… dem aliwahi kufika nikamkaza vizuri tu lengo langu mshikaji nae aje amkaze mbele yangu tukate mzizi wa fitna ila jamaa alipofika alishindwa kumkaza
Ikabidi dem aangue kilio (sijui alilia nini) basi nikamtuliza nikamkaza tena jamaa alipoondoka
dem alishindwa chagua akataka vyote kwahiyo jamaa akawa anakula kwa time yake nami nakula kwa time yangu.
Ila kichwani nilikuwa namuwinda jamaa akipata demu nimlie, tatizo jamaa madem zake wote wabovuu yani alipata salama kwa dem wangu
Ila kuna kibinti alikuwa anakifukuzia hicho kidogo kina afadhali, hako kabinti kalikuwa kananielewa sana mpaka leo, nilichofanya nikakaita geto nikampanga mwanangu mwingine kila kitu ili amuite mshkaji aje ashuhudie ninachomfanya dem anaemkubali
Kweli jioni jamaa kaja mshkaji wangu wakakaa nje akawa anampigisha story kwa kumwambia kuwa “Count Capone ana demu ndani tumsikilizie kuna ishu alisema atatupa” basi wakawa wanansubiri
Huko ndani kale kadem nikakashughulisha hasa kelele na miguno yote jamaa nje anasikia
Ile kutoka dem akakutana na mshikaji uso kwa uso, jamaa kamuona live kuwa nimemla dem anaemfukuzia. Hapo nafsi yangu ikawa na amani sanaa kisasi kikatimia.