Hapa kwenye tayari tozo zinaniua sii bora niondoke huku nikiwa nimekula utamuYou will die utakufa vibaya wewe nakuonea huruma[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kwenye tayari tozo zinaniua sii bora niondoke huku nikiwa nimekula utamuYou will die utakufa vibaya wewe nakuonea huruma[emoji23][emoji23]
Na walijua kwamba wametembezewa hicho kitombo kila mtu?ME YULE JAMAA ALINICHAPIAGA MKE WANGU NILIENDA TEMBEZA KITOMBO KWENYE FAMILIA YAKE KUANZIA MAMA MPAKA WADOGOZAKE NA DADA ZAKE
Na mwanaume anaejielewaa kamwe USIJIBUU MSG ZA MWANAMKE ANAEKUPIGA KIBUTI.Kuchapiwa kusikie kwa wenzio, mimi kuna demu nilimkubali sana, black beauty mmoja na shepu yake. Ila anapenda sana kuvaa nguo ndefu za kujisitiri za vitenge ni kasema hapa ni mefika duu. Kumbe bwana kuna ex wake wanakaa mtaa mmoja, wanarudiana na kuachana. Kuna dogo aliniambia ila nilikuwa ni mebanwa na kazi sikuwa na muda wa kulifuatilia.
Kuna siku nipo zangu site naona meseji ndefu ya kibuti ni kajua basi tena ni kajikaza kiume kama miezi mitatu maumivu ya kapoa. Badaa ya miezi mitano anaomba turudiane,tena ile kwa kulazimisha mara "na kuja kwako kukufanyia fujo, mara na kurudishia zawadi zako ni kiziona na kukumbuka.
Kuna kipindi nikawaza may be ni mtumie tu then ni mwache ni kaona sio fresh sababu kaka zake ni marafiki zangu,sababu kipindi na date nae nahisi kaka zake hawa kufaham. Nikaona acha ni kaushe tu, yule demu mpaka leo hii anaomba turudiane ni nilikuwa ni kimblock anabadilisha namba sasa ni meamua ni mwache akipiga siku hizi sipokei naona kachoka,ila still bado siku hizi anatuma msgs najua atachoka tu.
Ila ni kaja kugundua hamna watu wanaojua kuandika msg za kuchoma kama wanawake,hasa wakikupiga kibuti.
Dada ake ungempiga paipu kawaida tu, mtungo labda mngempiga huyo mshkaji. Dada ulimuonea!Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Eeeh kumbe hivi visasi na niny wadada mnavyo [emoji3064]Mimi ilikuwa hivi nilikuwa na men wangu ni kisu yaani handsome balaa sasa siunajua lazima ukajishaue kwa marafiki zako .
Wakadai okay shem tumekuelewa walahi mtu akaiba namba yake akamsaoundisha wakalana sijajua kabadilika kwanini.
Nikawabana mafriends wangu waniambie weeh nikajua ni mke wamtu kafanya hilo na ndio best yangu kinyama .
Sawa nikasema poa ...
Nikaanza ufisadi hadi nikampata mume wake nikampa vizuri hadi basi akawa anapigwa tu wala hapendwi kisa mie akaona mapenzi na mchepuko ni mbaya akamwomba yule mkaka arudi kwangu na mimi nimuachie mumewe nikagoma kabisa.
Aliendaga kwao kapewa talaka moja akaaa mwaka 1 ndio nikaona nimuhurumie nikaachana mumewe wakarudiana
So alikaambali na mpenzi wangu japo sijarudiana naye
Kamwe usimrudie, ukafikiri ndio ataachana na huyo jamaa yake.Asante kwa jf humu tunaongea bila kujuana hata katika vitu ambavyo huwa hatupendi kuviweka wazi kama kuchapiwa maana ni aibu, humu hatujuani inakuwa rahisi kuweka mambo wazi...
kisa changu
Nilimuaga ex girlfriend wangu kwamba nimepata safari ya kikazi nitakua nje ya mji kwa muda flani kuna tajiri anataka nimwekee makabati nyumba anayofanyia finishing anyokaribia kuhamia, nilifika huko lakini nilikuta kuna wenzangu wengine kwa hio kazi iliisha mapema , niliwahi kurudi nikiwa nimeshalipwa na tajiri kama laki 3 hivi, nilifika kwangu kuweka begi na kisha nikaanza safari ya kwenda kwa ex wangu, nilifika kwake nilimkuta hayupo, nikaanza safari ya kurudi nikaona wacha nipate chakula lodge flani ya karibu,
wakati nakula wali kuku kwa jeuri ya pesa nilizopata huko kibaruani nikaona kuna gari rav 4 imekuja pale lodge, nilipatwa na mshangao kuona ex wangunae kashuka nje ya hio gari, kiukweli alikuwa amependeza hio siku nadhani alienda saloon, nikawa siamini amini nachokiona na yeye muda huo hajaniona,
jamaa aliingia ndani sikuona alichoenda kufanya ila itakuwa alienda kufanya malipo ya chumba, nilimpigia simu ex muda huo huku namcheki akawa ananiambia yupo kwenye daladala anarudi kwake alienda sokoni, machozi yalikuwa yananilenga, yule jamaa aliporudi akamchukua ex wangu wakaingia ndani, aaaaahhh!! maumivu makali mno!!
hata msosi ukageuka mchungu, nililipa na kuondoka hapo hapo,,, siwezi kuanzisha varanga kwa demu ambae kwa maamuzi yake kakubali kuliwa..
nilifika gheto nampigia lakini simu inaita tu, hapa nikawa navuta picha game imeiva, huo moto anaopelekewa huko si wa kitoto, niliumia sana kwakweli..
nilienda pharmacy ya karibu kununua sleeping pills (vigonge vya usingizi) maana mawazo yalinisonga sana, nilirudi geto nikagonga vidonge viwili nikajilaza kitandani huku naendelea kuwaza lakini usingizi ukanichukua.
kesho yake naamka kama kawaida ila daah!! nikakumbuka kilichotokea jana nikacheki simu nikaona ex alinipigia kama mara tatu hivi na kuacha mesej kwamba alikuwa kanipigia sipokei, ila muda alionipigia hapo nilicheki ilikuwa ni baada ya masaa mawili na nusu hivi.
kesho yake nilimwambia aje geto, ile kafika akaanza kujifanya kamaindi sikupokea simu ila akaanza kujifanya anajichekesha kufurahi nimewahi kurudi na kanimisi sana, alikuwa anaona siku zinakuwa ndefu bila mimi na blah blah kibao, mimi namchora tu, nikaanza kumpiga maswali pale moja kwa moja kwamba jana alieshuka nae ni nani,, akaanza kama kujistukia hivi akawa anakazia kwamba alikuwa kwake,,, nilimnasa kibao cha nguvu huku nikiwa na hasira ili ajue nipo seriois,, akaanza kulia, namwambia unalia kwanini lakini akawa analia machozi mengi namuonea na kwamba sio yeye, nilimnasa vibao vingine viwili vya nguvuu... akaanza kukiri na kuniomba msamaha sijui hatarudia, haikuwa nia yake, bla bla bla,,,,, nilifungua mlango nikamwambia its over!, hatuwezi kuendelea ....
Aliondoka huku akijifuta futa machozi ambayo huenda yalikuwa ya kinafki tu, nikajikaza kiume kwamba siwezi kuumia kisa malaya,,, baada ya masaa kama matatu hivi maumivu yalianza kurudi kwa spidi kali sana, sikuweza kuyamudu kwakweli, ilibidi tu niende kazini kujishughulisha hivyo hivyo, na niliporudi nilienda kukimbia uwanjani,,,hii ikawa ratiba yangu kwa wiki hivi lakini maumivu hasa wakati wa kulala niliyapata aisee,, kidume kuna siku nikaanza kuwaza jinsi ex alivyokuwa anapelekewa moto, nilidondosha machozi kama mtoto mdogo.
Nilikuja kupata mwengine ndio nikawa napooza pooza maumivu na mwishowe nikasahau kabisa,,,,
KISASI::
Kwa sasaHuyo jamaa ndie aliemuoa ex wangu, lakini ch ajabu mpaka leo ex wangu ni kama analazimisha mawasiliano, ikitokea sherehe yoyote tu ananitumia mesej pasaka njema, idi njema, n.k ila namjua anachotaka ni ukaribu, hilo nilihakikisha kuna siku nilikutana nae nikamwambia twende kwangu alikubali kabisa na nilipanga nimgonge nilipize kisasi ikiwezekana nimtumie kabisa picha huyo jamaa lakini nikapiga chini huo mpango,,,, ni kwamba huyu ex mda wowote nikimtaka hata kesho asubuhi anaweza kunipa mzigo lakini nafsi inanisuta, sioni hata ambacho ntafaidika nacho ni kama nilikubali yaishe tu maisha yaendelee.Sijajua kwa huko mbele lakini naomba nienelee na msimamo huu huu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nachapiwa sana tu sema sinaga wivu
Na wanajua kabisa najua ila hata siliongelei mimi nina kazi ya kula papuchi yake tu kama hakijatokea kitu
Basi wanaamua kujiondoa wenyewe
Nashindwa kuwaelewa
DUH!!!...ME YULE JAMAA ALINICHAPIAGA MKE WANGU NILIENDA TEMBEZA KITOMBO KWENYE FAMILIA YAKE KUANZIA MAMA MPAKA WADOGOZAKE NA DADA ZAKE
"Message za kuchoma wakati wa kibuti". Niliandikiwa moja mwaka 2007, ilichoma mpaka basi, sikujibu hata text moja.Kuchapiwa kusikie kwa wenzio, mimi kuna demu nilimkubali sana, black beauty mmoja na shepu yake. Ila anapenda sana kuvaa nguo ndefu za kujisitiri za vitenge ni kasema hapa ni mefika duu. Kumbe bwana kuna ex wake wanakaa mtaa mmoja, wanarudiana na kuachana. Kuna dogo aliniambia ila nilikuwa ni mebanwa na kazi sikuwa na muda wa kulifuatilia.
Kuna siku nipo zangu site naona meseji ndefu ya kibuti ni kajua basi tena ni kajikaza kiume kama miezi mitatu maumivu ya kapoa. Badaa ya miezi mitano anaomba turudiane,tena ile kwa kulazimisha mara "na kuja kwako kukufanyia fujo, mara na kurudishia zawadi zako ni kiziona na kukumbuka.
Kuna kipindi nikawaza may be ni mtumie tu then ni mwache ni kaona sio fresh sababu kaka zake ni marafiki zangu,sababu kipindi na date nae nahisi kaka zake hawa kufaham. Nikaona acha ni kaushe tu, yule demu mpaka leo hii anaomba turudiane ni nilikuwa ni kimblock anabadilisha namba sasa ni meamua ni mwache akipiga siku hizi sipokei naona kachoka,ila still bado siku hizi anatuma msgs najua atachoka tu.
Ila ni kaja kugundua hamna watu wanaojua kuandika msg za kuchoma kama wanawake,hasa wakikupiga kibuti.
Mmmh upo vizuri kwa kweliMimi ilikuwa hivi nilikuwa na men wangu ni kisu yaani handsome balaa sasa siunajua lazima ukajishaue kwa marafiki zako .
Wakadai okay shem tumekuelewa walahi mtu akaiba namba yake akamsaoundisha wakalana sijajua kabadilika kwanini.
Nikawabana mafriends wangu waniambie weeh nikajua ni mke wamtu kafanya hilo na ndio best yangu kinyama .
Sawa nikasema poa ...
Nikaanza ufisadi hadi nikampata mume wake nikampa vizuri hadi basi akawa anapigwa tu wala hapendwi kisa mie akaona mapenzi na mchepuko ni mbaya akamwomba yule mkaka arudi kwangu na mimi nimuachie mumewe nikagoma kabisa.
Aliendaga kwao kapewa talaka moja akaaa mwaka 1 ndio nikaona nimuhurumie nikaachana mumewe wakarudiana
So alikaambali na mpenzi wangu japo sijarudiana naye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuchapiwa bhn sio poa hii kitu sio inaconnection gani na maumivu yani kitombo anakula mtu mwingine kwa mapenzi yake alafu anaumia mwingine
Kuna manzi nilichapiwa na jamaa mmoja polisi aliliwa kweny Kweny gari IST yani mpaka leo sizikubali izo gari ndo ilikua mwisho kuwa na mawivu ya mapenzi, yani kiufupi magaidi huwa wanatengenezwa na ukiona mwanaume anatembeza sana kitombo ujue kuna tukio lilimkuta
Aise nilifanya revenge kwa wake za mapolis hadi nikajihisi na ngoma sijui nilichomoka vipi ..mapenzi ni ufala sana[emoji16]
Sijapenda huo ujingaUlimkosea sana huyo dada hakua na Kosa aisee