Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2017 nilikuwa na pisi moja pande za kaskazini huku mahusiano yalikuwa na kitu kama mwaka hivi wakati nilipo pigwa na kitu kizito pisi alikuwa mkoa wa jirani nyumbani kwao kwa muda wa miezi sita hivi mawasiano yetu yalikuwa mazuri tu.

Sasa bhana baada ya kumkosa mama la mama kwa kipindi mwisho nikaridhia kumtumia nauli aje home nipunguze kipururu cha almost miezi sita.

Ilikuwa siku ya jumapili siku ambayo mama alianza safari mapema asubuhi sababu ni mikoa ya jirani tu angetumia kama masaa 5 au 6 kufika hapa town. Basi buana kwa shauku kubwa nikanatizama saa yangu nikijua soon mama anakuwa hapa huku msg za hapa na pale kujua mwendelezo wa safari na kumjulia hali..

Baada ya muda kweli mtoto akafika akaniambia anapitia nyumbani kwa dada yake ili atuwe mizigo alafu mishale ya saa kumi nitakuwa kifuani nikihema kama dume la simba lililo Kamata windo baada ya mwendo mrefu wa kukimbiza nikasema ewaaaa!!😂

Saa kumi nayo sio mbali ikafika nikampigia mtoto simu akasema anajiandaa nusu saa ikapita nikapiga Simu inaita bila majibu baada ya kupiga mara mbili akanijibu kwa msg subiri nikaingia wasiwasi Kwamba nimedanganywa ila nikapiga moyo konde saa kumi na moja nikapiga tena haipokelewi nikapiga tena na tena bila majibu ...

Basi bhana baada ya kupiga mara nyingi 😭😭😭😭...jamani nasikia kulia nikikumbuka...baada ya kupiga simu snaa mwisho ikapokelewa ikiwa IPO hewani tu hakuna mtu anajibu nikawa nasikiliza kwa makini ni pisi yangu inakazwa asee😭😭😭😭😭😭eeeeh mungu mtoto anagugumia kwa uchungu na utamu..kweli nilipigwa na bumbuazi nikashidwa nikate au nizime au nife asee kumbe msela ndio aliyepokea simu yangu bila manzi kujua.....yani sitakaa nisahau ile siku ya jumapili saa mbili usiku mchizi wangu akaja nifata ghetto tukale nyama nilifika bar siwezi kunywa hata maji mtoto alikuja nitafuta badae akiniambia alishidwa kuja sababu dada alitoka akamwacha home...nikamwambia we ni MARAYA SANA mwisho tukaachana bhna ila niliteseka kinyama...
 
😂😂Mi nishasema ishu ni private life nitaenda kwa mtu kwake akiwa anaumwa au msiba tu!! Ila hata pakiwa na harusi sikanyagi sipendi kujua life la mtu the same mtu kujua life langu...Tufanye kazi kwa uwezo kila mtu akimaliza ashike njia yake kama kampani kitaa naishi na watu poa hata nikisema nifanye party japo sio mtu wa sherehe Nachukua majirani basi kazini sitaki mtu.


Mnakutana kwa furaha kumbe ni unafiki mwingi ,kesho mnaanza kuchomeana ...wengi pesa hawajijengi akili ni pombe na wanawake assume mtu ana take home around 2mil pia anakopa na hana hata familia..kila siku anapost viwanja.
 
Mm nilichapiwa nilipofaham nilimtafuta mkewake nikamchapa nikaandika barua ndefu yakusema kua nimemchapa mkeo nikamweleza alama alizozano mkwe nikamwambia nimemchapa marakadhaa nikamwambia vtu nilivomnunua harafu hiyo barua nikapaleka ofisin kwake
Legend, sanamu lako tuweke pale posta. Ila mkuu hii story huoni kama inastahili uzi kabisa?
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ingekuwa ni kusini ningesema ni mimi niliekulia manzi yako maana ata siku ni iyoiyo
 
Achana kabisa na mambo ya kisasi, utajiharibia maisha kwa sababu ya kijinga kabisa.
 
Dadeki ujue jamaa angeweza kukuua aisee.
Maumivu yake hapo ni hatari na nusu, ni bora kuimagine analiwa ila sio kusikia kabisa akiliwa.
 
Nilimkuta ana love bites shingoni,akaniambia amejigonga kwenye sturi haaaaah haaaaaah ,alikua hapokei simu nikaamua kwenda chuoni kwao,nikakutana nae bahat mbaya,kumcheki shingoni reddish na yeye alivyo mweupe yaani nikajua tu ukiona manyoya
 
Vyeo vingi sana kwako comrade
 
Nilimkuta ana love bites shingoni,akaniambia amejigonga kwenye sturi haaaaah haaaaaah ,alikua hapokei simu nikaamua kwenda chuoni kwao,nikakutana nae bahat mbaya,kumcheki shingoni reddish na yeye alivyo mweupe yaani nikajua tu ukiona manyoya
Haha haha ujue kashaliwaaaaaaaaa
 
Kumbe watu Wana roho mbaya aisee,Yan anaona unafaid kwel Yan iyo tv.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji23]pole sana Kwa tukio zito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemtolea nauli afu jamaa akaenda kuipiga...


Mpenzi wangu akuachana na x wake..

Jumapili moja outing ya nguvu,kala kanywa last minute kagoma ajisikii kwenda kulala home...no sweat nikampeleka kwake...

Siku ya siku nafuma sms mshikaji alikwenda kulala nae usiku nilipomrudisha..

Ananiulizaga nimepatwaga na nini,mpaka leo sijawahi mwambia,tumebaki washkaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…