Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Kuna kipindi nilikuwa guest na R sasa ile nimeshapiga cha mapepe natulia nianze kazi
mtoto akanishika shika paja akasema nywele zimekuwa kubwa kama za.. Alafu akashtuka, nikamuuliza kama za nani akasema basi tu
Nikakomaa naye mpaka saa saba usiku ndo akafunguka yote

Ima kutoka mbeya sitakuja kukusamehe
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2017 nilikuwa na pisi moja pande za kaskazini huku mahusiano yalikuwa na kitu kama mwaka hivi wakati nilipo pigwa na kitu kizito pisi alikuwa mkoa wa jirani nyumbani kwao kwa muda wa miezi sita hivi mawasiano yetu yalikuwa mazuri tu.

Sasa bhana baada ya kumkosa mama la mama kwa kipindi mwisho nikaridhia kumtumia nauli aje home nipunguze kipururu cha almost miezi sita.

Ilikuwa siku ya jumapili siku ambayo mama alianza safari mapema asubuhi sababu ni mikoa ya jirani tu angetumia kama masaa 5 au 6 kufika hapa town. Basi buana kwa shauku kubwa nikanatizama saa yangu nikijua soon mama anakuwa hapa huku msg za hapa na pale kujua mwendelezo wa safari na kumjulia hali..

Baada ya muda kweli mtoto akafika akaniambia anapitia nyumbani kwa dada yake ili atuwe mizigo alafu mishale ya saa kumi nitakuwa kifuani nikihema kama dume la simba lililo Kamata windo baada ya mwendo mrefu wa kukimbiza nikasema ewaaaa!!😂

Saa kumi nayo sio mbali ikafika nikampigia mtoto simu akasema anajiandaa nusu saa ikapita nikapiga Simu inaita bila majibu baada ya kupiga mara mbili akanijibu kwa msg subiri nikaingia wasiwasi Kwamba nimedanganywa ila nikapiga moyo konde saa kumi na moja nikapiga tena haipokelewi nikapiga tena na tena bila majibu ...

Basi bhana baada ya kupiga mara nyingi 😭😭😭😭...jamani nasikia kulia nikikumbuka...baada ya kupiga simu snaa mwisho ikapokelewa ikiwa IPO hewani tu hakuna mtu anajibu nikawa nasikiliza kwa makini ni pisi yangu inakazwa asee😭😭😭😭😭😭eeeeh mungu mtoto anagugumia kwa uchungu na utamu..kweli nilipigwa na bumbuazi nikashidwa nikate au nizime au nife asee kumbe msela ndio aliyepokea simu yangu bila manzi kujua.....yani sitakaa nisahau ile siku ya jumapili saa mbili usiku mchizi wangu akaja nifata ghetto tukale nyama nilifika bar siwezi kunywa hata maji mtoto alikuja nitafuta badae akiniambia alishidwa kuja sababu dada alitoka akamwacha home...nikamwambia we ni MARAYA SANA mwisho tukaachana bhna ila niliteseka kinyama...
 
kuna wajinga niliwakaribisha gheto wakakuta nna tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu mmoja alipotoka zanzibar) wakaenda mwambia boss nna tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi
zikaanza zengwe za boss, full kunichona wanifukuze siku moja ndo kafunguka kwamba mie ni mwizi hadi nimenunua tv kubwa sana (tv yenyewe nilipewa bure)
kama hakuna ulazima wa wafanyakazi wenzio kufika kwako wasifike tu
😂😂Mi nishasema ishu ni private life nitaenda kwa mtu kwake akiwa anaumwa au msiba tu!! Ila hata pakiwa na harusi sikanyagi sipendi kujua life la mtu the same mtu kujua life langu...Tufanye kazi kwa uwezo kila mtu akimaliza ashike njia yake kama kampani kitaa naishi na watu poa hata nikisema nifanye party japo sio mtu wa sherehe Nachukua majirani basi kazini sitaki mtu.

Mnakutana kwa furaha kumbe ni unafiki mwingi ,kesho mnaanza kuchomeana ...wengi pesa hawajijengi akili ni pombe na wanawake assume mtu ana take home around 2mil pia anakopa na hana hata familia..kila siku anapost viwanja.
 
Mm nilichapiwa nilipofaham nilimtafuta mkewake nikamchapa nikaandika barua ndefu yakusema kua nimemchapa mkeo nikamweleza alama alizozano mkwe nikamwambia nimemchapa marakadhaa nikamwambia vtu nilivomnunua harafu hiyo barua nikapaleka ofisin kwake
Legend, sanamu lako tuweke pale posta. Ila mkuu hii story huoni kama inastahili uzi kabisa?
 
Mwaka 2017 nilikuwa na pisi moja pande za kaskazini huku mahusiano yalikuwa na kitu kama mwaka hivi wakati nilipo pigwa na kitu kizito pisi alikuwa mkoa wa jirani nyumbani kwao kwa muda wa miezi sita hivi mawasiano yetu yalikuwa mazuri tu.

Sasa bhana baada ya kumkosa mama la mama kwa kipindi mwisho nikaridhia kumtumia nauli aje home nipunguze kipururu cha almost miezi sita.

Ilikuwa siku ya jumapili siku ambayo mama alianza safari mapema asubuhi sababu ni mikoa ya jirani tu angetumia kama masaa 5 au 6 kufika hapa town. Basi buana kwa shauku kubwa nikanatizama saa yangu nikijua soon mama anakuwa hapa huku msg za hapa na pale kujua mwendelezo wa safari na kumjulia hali..

Baada ya muda kweli mtoto akafika akaniambia anapitia nyumbani kwa dada yake ili atuwe mizigo alafu mishale ya saa kumi nitakuwa kifuani nikihema kama dume la simba lililo Kamata windo baada ya mwendo mrefu wa kukimbiza nikasema ewaaaa!![emoji23]

Saa kumi nayo sio mbali ikafika nikampigia mtoto simu akasema anajiandaa nusu saa ikapita nikapiga Simu inaita bila majibu baada ya kupiga mara mbili akanijibu kwa msg subiri nikaingia wasiwasi Kwamba nimedanganywa ila nikapiga moyo konde saa kumi na moja nikapiga tena haipokelewi nikapiga tena na tena bila majibu ...

Basi bhana baada ya kupiga mara nyingi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]...jamani nasikia kulia nikikumbuka...baada ya kupiga simu snaa mwisho ikapokelewa ikiwa IPO hewani tu hakuna mtu anajibu nikawa nasikiliza kwa makini ni pisi yangu inakazwa asee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]eeeeh mungu mtoto anagugumia kwa uchungu na utamu..kweli nilipigwa na bumbuazi nikashidwa nikate au nizime au nife asee kumbe msela ndio aliyepokea simu yangu bila manzi kujua.....yani sitakaa nisahau ile siku ya jumapili saa mbili usiku mchizi wangu akaja nifata ghetto tukale nyama nilifika bar siwezi kunywa hata maji mtoto alikuja nitafuta badae akiniambia alishidwa kuja sababu dada alitoka akamwacha home...nikamwambia we ni MARAYA SANA mwisho tukaachana bhna ila nateseka kinyama...
[emoji16][emoji16][emoji16] ingekuwa ni kusini ningesema ni mimi niliekulia manzi yako maana ata siku ni iyoiyo
 
Asante kwa jf humu tunaongea bila kujuana hata katika vitu ambavyo huwa hatupendi kuviweka wazi kama kuchapiwa maana ni aibu, humu hatujuani inakuwa rahisi kuweka mambo wazi...

kisa changu

Nilimuaga ex girlfriend wangu kwamba nimepata safari ya kikazi nitakua nje ya mji kwa muda flani kuna tajiri anataka nimwekee makabati nyumba anayofanyia finishing anyokaribia kuhamia, nilifika huko lakini nilikuta kuna wenzangu wengine kwa hio kazi iliisha mapema , niliwahi kurudi nikiwa nimeshalipwa na tajiri kama laki 3 hivi, nilifika kwangu kuweka begi na kisha nikaanza safari ya kwenda kwa ex wangu, nilifika kwake nilimkuta hayupo, nikaanza safari ya kurudi nikaona wacha nipate chakula lodge flani ya karibu,

wakati nakula wali kuku kwa jeuri ya pesa nilizopata huko kibaruani nikaona kuna gari rav 4 imekuja pale lodge, nilipatwa na mshangao kuona ex wangunae kashuka nje ya hio gari, kiukweli alikuwa amependeza hio siku nadhani alienda saloon, nikawa siamini amini nachokiona na yeye muda huo hajaniona,

jamaa aliingia ndani sikuona alichoenda kufanya ila itakuwa alienda kufanya malipo ya chumba, nilimpigia simu ex muda huo huku namcheki akawa ananiambia yupo kwenye daladala anarudi kwake alienda sokoni, machozi yalikuwa yananilenga, yule jamaa aliporudi akamchukua ex wangu wakaingia ndani, aaaaahhh!! maumivu makali mno!!

hata msosi ukageuka mchungu, nililipa na kuondoka hapo hapo,,, siwezi kuanzisha varanga kwa demu ambae kwa maamuzi yake kakubali kuliwa..

nilifika gheto nampigia lakini simu inaita tu, hapa nikawa navuta picha game imeiva, huo moto anaopelekewa huko si wa kitoto, niliumia sana kwakweli..

nilienda pharmacy ya karibu kununua sleeping pills (vigonge vya usingizi) maana mawazo yalinisonga sana, nilirudi geto nikagonga vidonge viwili nikajilaza kitandani huku naendelea kuwaza lakini usingizi ukanichukua.

kesho yake naamka kama kawaida ila daah!! nikakumbuka kilichotokea jana nikacheki simu nikaona ex alinipigia kama mara tatu hivi na kuacha mesej kwamba alikuwa kanipigia sipokei, ila muda alionipigia hapo nilicheki ilikuwa ni baada ya masaa mawili na nusu hivi.

kesho yake nilimwambia aje geto, ile kafika akaanza kujifanya kamaindi sikupokea simu ila akaanza kujifanya anajichekesha kufurahi nimewahi kurudi na kanimisi sana, alikuwa anaona siku zinakuwa ndefu bila mimi na blah blah kibao, mimi namchora tu, nikaanza kumpiga maswali pale moja kwa moja kwamba jana alieshuka nae ni nani,, akaanza kama kujistukia hivi akawa anakazia kwamba alikuwa kwake,,, nilimnasa kibao cha nguvu huku nikiwa na hasira ili ajue nipo seriois,, akaanza kulia, namwambia unalia kwanini lakini akawa analia machozi mengi namuonea na kwamba sio yeye, nilimnasa vibao vingine viwili vya nguvuu... akaanza kukiri na kuniomba msamaha sijui hatarudia, haikuwa nia yake, bla bla bla,,,,, nilifungua mlango nikamwambia its over!, hatuwezi kuendelea ....

Aliondoka huku akijifuta futa machozi ambayo huenda yalikuwa ya kinafki tu, nikajikaza kiume kwamba siwezi kuumia kisa malaya,,, baada ya masaa kama matatu hivi maumivu yalianza kurudi kwa spidi kali sana, sikuweza kuyamudu kwakweli, ilibidi tu niende kazini kujishughulisha hivyo hivyo, na niliporudi nilienda kukimbia uwanjani,,,hii ikawa ratiba yangu kwa wiki hivi lakini maumivu hasa wakati wa kulala niliyapata aisee,, kidume kuna siku nikaanza kuwaza jinsi ex alivyokuwa anapelekewa moto, nilidondosha machozi kama mtoto mdogo.

Nilikuja kupata mwengine ndio nikawa napooza pooza maumivu na mwishowe nikasahau kabisa,,,,

KISASI::

Kwa sasaHuyo jamaa ndie aliemuoa ex wangu, lakini ch ajabu mpaka leo ex wangu ni kama analazimisha mawasiliano, ikitokea sherehe yoyote tu ananitumia mesej pasaka njema, idi njema, n.k ila namjua anachotaka ni ukaribu, hilo nilihakikisha kuna siku nilikutana nae nikamwambia twende kwangu alikubali kabisa na nilipanga nimgonge nilipize kisasi ikiwezekana nimtumie kabisa picha huyo jamaa lakini nikapiga chini huo mpango,,,, ni kwamba huyu ex mda wowote nikimtaka hata kesho asubuhi anaweza kunipa mzigo lakini nafsi inanisuta, sioni hata ambacho ntafaidika nacho ni kama nilikubali yaishe tu maisha yaendelee.Sijajua kwa huko mbele lakini naomba nienelee na msimamo huu huu.
Achana kabisa na mambo ya kisasi, utajiharibia maisha kwa sababu ya kijinga kabisa.
 
Mwaka 2017 nilikuwa na pisi moja pande za kaskazini huku mahusiano yalikuwa na kitu kama mwaka hivi wakati nilipo pigwa na kitu kizito pisi alikuwa mkoa wa jirani nyumbani kwao kwa muda wa miezi sita hivi mawasiano yetu yalikuwa mazuri tu.

Sasa bhana baada ya kumkosa mama la mama kwa kipindi mwisho nikaridhia kumtumia nauli aje home nipunguze kipururu cha almost miezi sita.

Ilikuwa siku ya jumapili siku ambayo mama alianza safari mapema asubuhi sababu ni mikoa ya jirani tu angetumia kama masaa 5 au 6 kufika hapa town. Basi buana kwa shauku kubwa nikanatizama saa yangu nikijua soon mama anakuwa hapa huku msg za hapa na pale kujua mwendelezo wa safari na kumjulia hali..

Baada ya muda kweli mtoto akafika akaniambia anapitia nyumbani kwa dada yake ili atuwe mizigo alafu mishale ya saa kumi nitakuwa kifuani nikihema kama dume la simba lililo Kamata windo baada ya mwendo mrefu wa kukimbiza nikasema ewaaaa!!😂

Saa kumi nayo sio mbali ikafika nikampigia mtoto simu akasema anajiandaa nusu saa ikapita nikapiga Simu inaita bila majibu baada ya kupiga mara mbili akanijibu kwa msg subiri nikaingia wasiwasi Kwamba nimedanganywa ila nikapiga moyo konde saa kumi na moja nikapiga tena haipokelewi nikapiga tena na tena bila majibu ...

Basi bhana baada ya kupiga mara nyingi 😭😭😭😭...jamani nasikia kulia nikikumbuka...baada ya kupiga simu snaa mwisho ikapokelewa ikiwa IPO hewani tu hakuna mtu anajibu nikawa nasikiliza kwa makini ni pisi yangu inakazwa asee😭😭😭😭😭😭eeeeh mungu mtoto anagugumia kwa uchungu na utamu..kweli nilipigwa na bumbuazi nikashidwa nikate au nizime au nife asee kumbe msela ndio aliyepokea simu yangu bila manzi kujua.....yani sitakaa nisahau ile siku ya jumapili saa mbili usiku mchizi wangu akaja nifata ghetto tukale nyama nilifika bar siwezi kunywa hata maji mtoto alikuja nitafuta badae akiniambia alishidwa kuja sababu dada alitoka akamwacha home...nikamwambia we ni MARAYA SANA mwisho tukaachana bhna ila nateseka kinyama...
Dadeki ujue jamaa angeweza kukuua aisee.
Maumivu yake hapo ni hatari na nusu, ni bora kuimagine analiwa ila sio kusikia kabisa akiliwa.
 
Nilimkuta ana love bites shingoni,akaniambia amejigonga kwenye sturi haaaaah haaaaaah ,alikua hapokei simu nikaamua kwenda chuoni kwao,nikakutana nae bahat mbaya,kumcheki shingoni reddish na yeye alivyo mweupe yaani nikajua tu ukiona manyoya
 
Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Vyeo vingi sana kwako comrade
 
Nilimkuta ana love bites shingoni,akaniambia amejigonga kwenye sturi haaaaah haaaaaah ,alikua hapokei simu nikaamua kwenda chuoni kwao,nikakutana nae bahat mbaya,kumcheki shingoni reddish na yeye alivyo mweupe yaani nikajua tu ukiona manyoya
Haha haha ujue kashaliwaaaaaaaaa
 
kuna wajinga niliwakaribisha gheto wakakuta nna tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu mmoja alipotoka zanzibar) wakaenda mwambia boss nna tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi
zikaanza zengwe za boss, full kunichona wanifukuze siku moja ndo kafunguka kwamba mie ni mwizi hadi nimenunua tv kubwa sana (tv yenyewe nilipewa bure)
kama hakuna ulazima wa wafanyakazi wenzio kufika kwako wasifike tu
Kumbe watu Wana roho mbaya aisee,Yan anaona unafaid kwel Yan iyo tv.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2017 nilikuwa na pisi moja pande za kaskazini huku mahusiano yalikuwa na kitu kama mwaka hivi wakati nilipo pigwa na kitu kizito pisi alikuwa mkoa wa jirani nyumbani kwao kwa muda wa miezi sita hivi mawasiano yetu yalikuwa mazuri tu.

Sasa bhana baada ya kumkosa mama la mama kwa kipindi mwisho nikaridhia kumtumia nauli aje home nipunguze kipururu cha almost miezi sita.

Ilikuwa siku ya jumapili siku ambayo mama alianza safari mapema asubuhi sababu ni mikoa ya jirani tu angetumia kama masaa 5 au 6 kufika hapa town. Basi buana kwa shauku kubwa nikanatizama saa yangu nikijua soon mama anakuwa hapa huku msg za hapa na pale kujua mwendelezo wa safari na kumjulia hali..

Baada ya muda kweli mtoto akafika akaniambia anapitia nyumbani kwa dada yake ili atuwe mizigo alafu mishale ya saa kumi nitakuwa kifuani nikihema kama dume la simba lililo Kamata windo baada ya mwendo mrefu wa kukimbiza nikasema ewaaaa!![emoji23]

Saa kumi nayo sio mbali ikafika nikampigia mtoto simu akasema anajiandaa nusu saa ikapita nikapiga Simu inaita bila majibu baada ya kupiga mara mbili akanijibu kwa msg subiri nikaingia wasiwasi Kwamba nimedanganywa ila nikapiga moyo konde saa kumi na moja nikapiga tena haipokelewi nikapiga tena na tena bila majibu ...

Basi bhana baada ya kupiga mara nyingi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]...jamani nasikia kulia nikikumbuka...baada ya kupiga simu snaa mwisho ikapokelewa ikiwa IPO hewani tu hakuna mtu anajibu nikawa nasikiliza kwa makini ni pisi yangu inakazwa asee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]eeeeh mungu mtoto anagugumia kwa uchungu na utamu..kweli nilipigwa na bumbuazi nikashidwa nikate au nizime au nife asee kumbe msela ndio aliyepokea simu yangu bila manzi kujua.....yani sitakaa nisahau ile siku ya jumapili saa mbili usiku mchizi wangu akaja nifata ghetto tukale nyama nilifika bar siwezi kunywa hata maji mtoto alikuja nitafuta badae akiniambia alishidwa kuja sababu dada alitoka akamwacha home...nikamwambia we ni MARAYA SANA mwisho tukaachana bhna ila niliteseka kinyama...
[emoji38][emoji38][emoji23]pole sana Kwa tukio zito.

Umemtolea nauli afu jamaa akaenda kuipiga...

Mpenzi wangu akuachana na x wake..

Jumapili moja outing ya nguvu,kala kanywa last minute kagoma ajisikii kwenda kulala home...no sweat nikampeleka kwake...

Siku ya siku nafuma sms mshikaji alikwenda kulala nae usiku nilipomrudisha..

Ananiulizaga nimepatwaga na nini,mpaka leo sijawahi mwambia,tumebaki washkaji tu
 
Back
Top Bottom