Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

ingekuwa ni kusini ningesema ni mimi niliekulia manzi yako maana ata siku ni iyoiyo
😭😭😭😭😭
ingekuwa ni kusini ningesema ni mimi niliekulia manzi yako maana ata siku ni iyoiyo

Duuh noma sana
 
Mwaka 2003 mshikaji wangu tukapata taarifa mkewe kuna mshikaji pesa mingi mtoto wa mjini anakula mbaya. Tukamsomea Raman tukamjua watu anaofahamiana nao kaz yake uwezo wake na mahali anapendelea kwenda na anapendelea chakula gani nk. tukajua jamaa anakula wake za watu kibao sio yule wa mshikaji tu. Baada ya miezi sita ya kuchora ramani ya adhabu ya kumpa tukajua yeye ni mlevi pia basi tukaanzia hapo. Tukatengeneza marafiki feki wa kumzunguka then jamaa mmoja akalipwa akamtongoza Mama yake mshikaji. Mama akatic. Akapewa whiskey na wine flan za kanisan akapendeza. jamaa nae kapigwa pombe mchanganyiko na demu mkali wa singida akachangamka. Kwenda hotelin Mama alikuwa bado zimo. Watu wakijifanya cjui House party kila mtu na demu wake then baada ya muda watu wakasepa wakamwacha jamaa na mama yake wamekulana wapo uchi. Ikaandikwa tu sms kwenye kikaratasi akawekewa mezani. Achana na wake za Watu bro hili ni onyo la mwisho. Tulikuja kusikia jamaa alikimbia mjin cjui hata Yuko Wapi Cku hiz. Ila Mama nasikia pressure nanini network zikakata. From that day cwez kumfanyia mtu kitu kibaya kwaajili ya mwanamke zaid sana nitamuacha mwanamke. Umenikumbusha mbali sana Chief. Ila enz za ujana wetu huwez kunifanyia jambo baya nitakulia radar hata mwaka ila hiyo Cku ikifika ujue tunaahirisha kwenda mbinguni Kwa muda kwaajili ya misheni maalumu.
 
Hahaaaaa, umefanya nicheke sana. Aiseeeeee
 
Jamaa yangu wa Chanika naomba unisamehe sana, nilitembea na mke wako ukagundua na kumsamehe, lakini bado tukaendelea hadi ulipokuja kugundua tena. Ila na mimi nina wasiwasi na fundi mmoja, nahisi nimeshapigwa!

Polee mkuu
 
 
Pole Sana comred
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Me nisingechelewesha ningemtoa tu kwenye mud Kwa kumtumia sms , naona unaingia lodge kwenda kunywnduliwa , nakuzoom tu hapa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio Maana mimi natembeza fito kwa wake za watu mwanzo mwisho sababu ya kuchapiwa

NILIVYOCHAPIWA !!

Kipindi namuoa mkewangu tulijikumbusha ya utotoni mi nikamsimulia yakwangu yeye akaniambia jinsi alivoanza kufanya mapenzi na akaniambia jamaa aliemtoa bikra na tayari jamaa alishaoa kiukweli niliumia sana kusimliwa hivyo rakini kwakua ilikua simulizi niliyazoea maumivu yakapita

Basi mwaka 2019 Mkewangu kulitokea msiba kwao akaenda baasi akiwa huko msbani niliona kuna namba ilinitumia meseji ya (nitumie pesa) nikajua atakua mkewangu nikiipiga haipokelewi hiyo namba basi nikakaushia

Baada ya siku alirudi mama watoto wangu akaanzisha stor anasema et nilipokua nyumbani nlicheka kaka wa baba mkubwa alikutumia meseji ya kukuomba hela ukaanza kumpigia kila mara tukacheka pale yakaisha

Tumekaa kama wiki mbili simu ya mkewangu haikatiki kukaa mikononi nikajua hapa kuna kitu hakiko sawa alienda kuoga nikaichukua simu nikaikuta ile namba aliokua anadai ni yakakaake wa baba mkubwa ni jamaa ananitafunia mkewangu

MESEJI NILIZOKUTA ZINASEMA

1.Mpenzi wangu tangia nikupasue bkra pale kwenye boma la nyumba uliniroga nakukumbuka mpaka leo

2.Kumbe bado unautamu uleule wala ujabadilika

Yaani kfupi mkewangu amet**mwba sana na jamaa alivoenda msbani huko nilimbana alikiri kutembea na jamaa aliemtoaga bikra kipindi cha uschana niliumia maumivu ambayo yalikua yananifanya nishinde na njaa kila wakati ilinichukua miez mitatu.
 
daaah pole sana!
 
mi nataka kujua kuwa amliachana au bado mnaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…