Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
ingekuwa ni kusini ningesema ni mimi niliekulia manzi yako maana ata siku ni iyoiyo
😭😭😭😭😭
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
ingekuwa ni kusini ningesema ni mimi niliekulia manzi yako maana ata siku ni iyoiyo

Umemtolea nauli afu jamaa akaenda kuipiga...

Mpenzi wangu akuachana na x wake..

Jumapili moja outing ya nguvu,kala kanywa last minute kagoma ajisikii kwenda kulala home...no sweat nikampeleka kwake...

Siku ya siku nafuma sms mshikaji alikwenda kulala nae usiku nilipomrudisha..

Ananiulizaga nimepatwaga na nini,mpaka leo sijawahi mwambia,tumebaki washkaji tu
Duuh noma sana
 
Mwaka 2003 mshikaji wangu tukapata taarifa mkewe kuna mshikaji pesa mingi mtoto wa mjini anakula mbaya. Tukamsomea Raman tukamjua watu anaofahamiana nao kaz yake uwezo wake na mahali anapendelea kwenda na anapendelea chakula gani nk. tukajua jamaa anakula wake za watu kibao sio yule wa mshikaji tu. Baada ya miezi sita ya kuchora ramani ya adhabu ya kumpa tukajua yeye ni mlevi pia basi tukaanzia hapo. Tukatengeneza marafiki feki wa kumzunguka then jamaa mmoja akalipwa akamtongoza Mama yake mshikaji. Mama akatic. Akapewa whiskey na wine flan za kanisan akapendeza. jamaa nae kapigwa pombe mchanganyiko na demu mkali wa singida akachangamka. Kwenda hotelin Mama alikuwa bado zimo. Watu wakijifanya cjui House party kila mtu na demu wake then baada ya muda watu wakasepa wakamwacha jamaa na mama yake wamekulana wapo uchi. Ikaandikwa tu sms kwenye kikaratasi akawekewa mezani. Achana na wake za Watu bro hili ni onyo la mwisho. Tulikuja kusikia jamaa alikimbia mjin cjui hata Yuko Wapi Cku hiz. Ila Mama nasikia pressure nanini network zikakata. From that day cwez kumfanyia mtu kitu kibaya kwaajili ya mwanamke zaid sana nitamuacha mwanamke. Umenikumbusha mbali sana Chief. Ila enz za ujana wetu huwez kunifanyia jambo baya nitakulia radar hata mwaka ila hiyo Cku ikifika ujue tunaahirisha kwenda mbinguni Kwa muda kwaajili ya misheni maalumu.
 
Kuna jamaa tulikuwa tukiishi nae nyumba moja ya kupanga,aligundua mkewe ametafunwa kupitia mawasiliano ya kwenye simu,jamaa alimpiga mno yule mwanamke siku hiyo,wakayamaliza Ila ndani ya wiki nzima mwanamke alikiona cha moto, walikuwa wakipiga stori wanacheka wenyewe, ghafla jamaa akikumbuka lile tukio anachange anambutua yule mwanamke,walifurahisha kwa kweli
Hahaaaaa, umefanya nicheke sana. Aiseeeeee
 
Jamaa yangu wa Chanika naomba unisamehe sana, nilitembea na mke wako ukagundua na kumsamehe, lakini bado tukaendelea hadi ulipokuja kugundua tena. Ila na mimi nina wasiwasi na fundi mmoja, nahisi nimeshapigwa!

Polee mkuu
 
Inawezekana nimeshawahi kuchapiwa......

Ila hii ni mchapio uliotokea kwa rafiki yangu.....

Miaka ile baada ya kuanza ajira, nikiwa naishi mitaa ya Kijitonyama, mimi na rafiki yangu wa muda mrefu sana tulikuwa majirani kabisa.

Siku ya jumapili nikiwa nawaza niende kuzurura wapi jamaa akanipigia simu kuwa niende kwake ana jambo anataka nimpe ushauri.

Nilimkuta jamaa ana mchanganyiko wa huzuni na hasira; nikauliza kumetokea nini?
Jamaa akaanza kunihadithia kuwa amechapiwa demu wake asubuhi hiyo...Nikashtuka na kuuliza, vipi umefumania? akasema hapana. Nikauliza tena, sasa wewe umejuaje kuwa amekusaliti?
Yaliyotokea kwa mujibu wa maelezo ya jamaa ...
Alimpigia simu huyo demu wake jumamosi usiku kuwa aende jumpaili ili wawe wote weekend kufurahia mapenzi yao, binti akakubali kuwa angefika hapo saa mbili asubuhi.
Huyo manzi kama alikusudia tu kumtesa jamaa yako
 
Mwaka 2017 nilikuwa na pisi moja pande za kaskazini huku mahusiano yalikuwa na kitu kama mwaka hivi wakati nilipo pigwa na kitu kizito pisi alikuwa mkoa wa jirani nyumbani kwao kwa muda wa miezi sita hivi mawasiano yetu yalikuwa mazuri tu.

Sasa bhana baada ya kumkosa mama la mama kwa kipindi mwisho nikaridhia kumtumia nauli aje home nipunguze kipururu cha almost miezi sita.

Ilikuwa siku ya jumapili siku ambayo mama alianza safari mapema asubuhi sababu ni mikoa ya jirani tu angetumia kama masaa 5 au 6 kufika hapa town. Basi buana kwa shauku kubwa nikanatizama saa yangu nikijua soon mama anakuwa hapa huku msg za hapa na pale kujua mwendelezo wa safari na kumjulia hali..

Baada ya muda kweli mtoto akafika akaniambia anapitia nyumbani kwa dada yake ili atuwe mizigo alafu mishale ya saa kumi nitakuwa kifuani nikihema kama dume la simba lililo Kamata windo baada ya mwendo mrefu wa kukimbiza nikasema ewaaaa!![emoji23]

Saa kumi nayo sio mbali ikafika nikampigia mtoto simu akasema anajiandaa nusu saa ikapita nikapiga Simu inaita bila majibu baada ya kupiga mara mbili akanijibu kwa msg subiri nikaingia wasiwasi Kwamba nimedanganywa ila nikapiga moyo konde saa kumi na moja nikapiga tena haipokelewi nikapiga tena na tena bila majibu ...

Basi bhana baada ya kupiga mara nyingi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]...jamani nasikia kulia nikikumbuka...baada ya kupiga simu snaa mwisho ikapokelewa ikiwa IPO hewani tu hakuna mtu anajibu nikawa nasikiliza kwa makini ni pisi yangu inakazwa asee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]eeeeh mungu mtoto anagugumia kwa uchungu na utamu..kweli nilipigwa na bumbuazi nikashidwa nikate au nizime au nife asee kumbe msela ndio aliyepokea simu yangu bila manzi kujua.....yani sitakaa nisahau ile siku ya jumapili saa mbili usiku mchizi wangu akaja nifata ghetto tukale nyama nilifika bar siwezi kunywa hata maji mtoto alikuja nitafuta badae akiniambia alishidwa kuja sababu dada alitoka akamwacha home...nikamwambia we ni MARAYA SANA mwisho tukaachana bhna ila niliteseka kinyama...
Pole Sana comred
 
Kuna jamaa tulikuwa tukiishi nae nyumba moja ya kupanga,aligundua mkewe ametafunwa kupitia mawasiliano ya kwenye simu,jamaa alimpiga mno yule mwanamke siku hiyo,wakayamaliza Ila ndani ya wiki nzima mwanamke alikiona cha moto, walikuwa wakipiga stori wanacheka wenyewe, ghafla jamaa akikumbuka lile tukio anachange anambutua yule mwanamke,walifurahisha kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Asante kwa jf humu tunaongea bila kujuana hata katika vitu ambavyo huwa hatupendi kuviweka wazi kama kuchapiwa maana ni aibu, humu hatujuani inakuwa rahisi kuweka mambo wazi...

kisa changu

Nilimuaga ex girlfriend wangu kwamba nimepata safari ya kikazi nitakua nje ya mji kwa muda flani kuna tajiri anataka nimwekee makabati nyumba anayofanyia finishing anyokaribia kuhamia, nilifika huko lakini nilikuta kuna wenzangu wengine kwa hio kazi iliisha mapema , niliwahi kurudi nikiwa nimeshalipwa na tajiri kama laki 3 hivi, nilifika kwangu kuweka begi na kisha nikaanza safari ya kwenda kwa ex wangu, nilifika kwake nilimkuta hayupo, nikaanza safari ya kurudi nikaona wacha nipate chakula lodge flani ya karibu,

wakati nakula wali kuku kwa jeuri ya pesa nilizopata huko kibaruani nikaona kuna gari rav 4 imekuja pale lodge ikapaki sehemu ambayo naweza kuiona, kuna jamaa alishuka akaingia ndani kwenye lodge nadhani alienda kuulizia chumba na kufanya malipo, mda huo nipo kwenye angle ya ku observe mengi, nikaona jamaa katoka nje karibu na mlango wa kuingia lodge katoa simu mfukoni anaitumia, itakuwa alikuwa anatuma mesej, baada ya sekunde chache kuna binti akashuka kwenye rav 4 kisha akaanza kumfata jamaa alipo, , LA HAULA!! Sikuamini macho yangu, alieshuka alikuwa ni dem wangu jamani.

nilipatwa na mshangao kumuona dem wangu japo yeye hakuweza kuniona, kiukweli alikuwa amependeza hio siku alienda saloon, nikawa siamini amini nachokiona, yani dem wangu kaingia lodge na hio njemba, , aaaaahhh!! maumivu makali mno!!

hata msosi ukageuka mchungu, nililipa na kuondoka hapo hapo,,, siwezi kuanzisha varanga kwa demu ambae kwa maamuzi yake kakubali kuliwa..

nilifika gheto nampigia lakini simu inaita tu, hapa nikawa navuta picha game imeiva, huo moto anaopelekewa huko si wa kitoto, niliumia sana kwakweli..

nilienda pharmacy ya karibu kununua sleeping pills (vidonge vya usingizi) maana mawazo yalinisonga sana, nilirudi geto nikagonga vidonge viwili nikajilaza kitandani huku naendelea kuwaza lakini usingizi ukanichukua.

kesho yake naamka kama kawaida ila daah!! nikikumbuka kilichotokea jana yani maumivu tu, nikacheki simu nikaona ex alinipigia kama mara tatu hivi na kuacha mesej kwamba alikuwa kanipigia sipokei, ila muda alionipigia hapo nilicheki ilikuwa ni baada ya masaa mawili na nusu hivi.

nilimwambia aje geto, ile kafika akaanza kujifanya kamaindi sikupokea simu alizopiga akaanza ku act kujifanya alikuwa kapatwa wasi wasi kudhani labda nilipatwa na tatizo, hapo hapo akaanza kujifanya anajichekesha kufurahi nimewahi kurudi na kanimisi sana, mimi namchora tu.

nikaanza kumpiga maswali pale moja kwa moja kwamba jana alieshuka nae kwenye rav 4 ni nani,, akaanza kama kujistukia hivi akawa anakazia kwamba alikuwa kwake labda nimemfananisha,,, nilimnasa kibao taaa!!! cha nguvu ili ajue nipo seriois,, akaanza kulia, nilimkazia ajibu swali hayo machozi yake hata ajaze ndoo nahitaji majibu, akawa anaendelea ubishi kusingizia namuonea na kwamba sio yeye, nilimnasa tena vibao vingine viwili vya nguvu zaidi na vilisikika aisee... akaanza kukiri kweli ni yeye na kuniomba msamaha kwamba hatarudia, haikuwa nia yake, bla bla bla,,,,, nilifungua mlango nikamwambia its over!, hatuwezi kuendelea ....

Ilikuwa shughuli nyingine kuanza kumtoa, alipiga sana magoti kuniomba msamaha, namuinua asimame yeye anapiga magoti na kunukamata miguu, ilibidi nguvu ya ziada itumike sambamba na vibao vitatu vya zaida, alijifuta futa machozi, nikamtoa mpaka getini nikafunga geti nikarudi chumbani kwangu, uzuri siku hio nilikuwa mpangaji peke yangu niliebaki.

nilikuwa na maumivu mengi moyoni lakini kwenda kazini na mazoezi kulisaidia kimtindo, sikutaka kujifungia ndani,,,maumivu yalikuwepo pindi muda wa kulala ukifika nikianza kuwaza nilivyochapiwa, daaah!! yani nikaanza kuwaza jinsi ex alivyokuwa anapelekewa moto kuna siku nilitoa chozi kama mtoto mdogo. hali hii ilidumu kwa wiki hivi ila baada ya hapo niliweza kupata nguvu ya ku-move on mdogo mdogo.

baada ya miezi miwili niliweza kujitosa upya kuanza mahusiani mapya, mahusiano mapya yalinisaidia kwa kiasi kikubwa kupooza maumivu na hatimae nikasahau kabisa.

KISASI::

Kwa sasa huyo jamaa alienichapia ndie aliemuoa ex wangu lakini cha ajabu mpaka leo ex wangu ni kama analazimisha mawasiliano, huwa hapitwi kunitumia mesej za pasaka njema, idi njema, n.k. ila namjua kabisa anachotaka ni ukaribu tu, kuna siku nilikutana nae nikampanga twende kwangu alikubali kabisa na nilipanga nimtafune nilipize kisasi kwa huyo jamaa alienichapia na hata nipige picha au video nimtumie ili nae aumie lakini nafsi ilisita, nilahirisha na kumwambia ex lakini ajabu yeye alijaribu kunibembeleza twende akijua kabisa kinachoweza kutokea lakini nilisimamia msimamo wangu nikazuga tutapanga siku nyingine,,, ni kwamba huyu ex mda wowote nikimtaka anaweza kunipa mzigo lakini sioni ambacho ntafaidika nacho, nimekubali yaishe tu maisha yaendelee.
Me nisingechelewesha ningemtoa tu kwenye mud Kwa kumtumia sms , naona unaingia lodge kwenda kunywnduliwa , nakuzoom tu hapa
 
Haya mambo ya kukaribishana home ndo chuki na husda zinaanza hapo..labda ishu za kazini ziishie huko huko na za mtaani huko huko kweny maskani na vibanda umiza.

Mi nidanganya hata ninapokaa ndugu tu ndo wanajua nikiwa na tatizo wanafika fasta sio mbali ...watu wengine unaumwa wanakuja kukuchora mara unakuta story kazini "mchizi kakonda balaa"

[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio Maana mimi natembeza fito kwa wake za watu mwanzo mwisho sababu ya kuchapiwa

NILIVYOCHAPIWA !!

Kipindi namuoa mkewangu tulijikumbusha ya utotoni mi nikamsimulia yakwangu yeye akaniambia jinsi alivoanza kufanya mapenzi na akaniambia jamaa aliemtoa bikra na tayari jamaa alishaoa kiukweli niliumia sana kusimliwa hivyo rakini kwakua ilikua simulizi niliyazoea maumivu yakapita

Basi mwaka 2019 Mkewangu kulitokea msiba kwao akaenda baasi akiwa huko msbani niliona kuna namba ilinitumia meseji ya (nitumie pesa) nikajua atakua mkewangu nikiipiga haipokelewi hiyo namba basi nikakaushia

Baada ya siku alirudi mama watoto wangu akaanzisha stor anasema et nilipokua nyumbani nlicheka kaka wa baba mkubwa alikutumia meseji ya kukuomba hela ukaanza kumpigia kila mara tukacheka pale yakaisha

Tumekaa kama wiki mbili simu ya mkewangu haikatiki kukaa mikononi nikajua hapa kuna kitu hakiko sawa alienda kuoga nikaichukua simu nikaikuta ile namba aliokua anadai ni yakakaake wa baba mkubwa ni jamaa ananitafunia mkewangu

MESEJI NILIZOKUTA ZINASEMA

1.Mpenzi wangu tangia nikupasue bkra pale kwenye boma la nyumba uliniroga nakukumbuka mpaka leo

2.Kumbe bado unautamu uleule wala ujabadilika

Yaani kfupi mkewangu amet**mwba sana na jamaa alivoenda msbani huko nilimbana alikiri kutembea na jamaa aliemtoaga bikra kipindi cha uschana niliumia maumivu ambayo yalikua yananifanya nishinde na njaa kila wakati ilinichukua miez mitatu.
 
daaah pole sana!
 
mi nataka kujua kuwa amliachana au bado mnaendelea
 
Back
Top Bottom