Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Bado mnaishi pamoja?
 
Kwahyo bdo inaishi nae sio kma mnaishi aisee wee jamaa unafaa kuishi motoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hapo ndio ule usemi wa jokajeusi unakuja kichwani mwanamke wa kuoa awe na bikra
 
Wanaume ndomaana tunakufa mapema
 
Baada ya mkeo kukiri.

Safari zilizofata za yeye kwenda kwao, Kuna msiba, kusalimia Wazazi ...


Umekua unazimudu vipi?? Zipo? Aliamua mwenyewe kuzisitisha au vipi Mkuu?.

Nakama anaenda, unajisikiaje ?.
Tulielewana kua hakuna kukanyaga kwao kama atashindwa tuachane basi akaniomba msamaha ilikua kesi kubwa sana yaliisha maisha yanaendelea

Bora niliejua nachapiwa kuna ambao hawajui kuna mambo makubwa sana wanafanyiwa wake zao mimi binafsi siwez kutongoza mschana napiga wake za watu tu
 
Hata Mimi napiga wake za watu .


Kwahiyo Mkuu mkeo hajawah Tena kanyaga kwao.

Hapo ulimuweza maana hapo akiwaza Ndoa , akiwaza alikukosea, anajikuta Kwao hakanyagi .

Mkeo ni mzuri yaan akajaa mapaja, makalio na sura nzuri??
 
Tuendelee kustuana , akikujibu, nishtue

Kuna kitu tutajifunza Kwa jamaa.


Ila Mimi siku nikijua anatombwa nje., Ndo bye bye.
Mwanamke aki-cheat the only solution ni kumuacha.

Usipomuacha:
• Atajua hata akichepuka tena hauwezi kumfanya chochote
• Atajua anakumudu
• Zaidi, atakuona boya

Dawa ya mwanamke anayekusaliti ni kuachana naye.

By the way; mpaka mwanamke anakusaliti siyo kitendo cha bahati mbaya.

Wanawake hawa-cheat kwa bahati mbaya kama wanaume.

Akikusaliti ujue ameshafanya risk assessment akawa tayari kwa lolote.

Kamwe usimsamehe mwanamke anaye-cheat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…