Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Bado mnaishi pamoja?Ndio Maana mimi natembeza fito kwa wake za watu mwanzo mwisho sababu ya kuchapiwa
NILIVYOCHAPIWA !!
Kipindi namuoa mkewangu tulijikumbusha ya utotoni mi nikamsimulia yakwangu yeye akaniambia jinsi alivoanza kufanya mapenzi na akaniambia jamaa aliemtoa bikra na tayari jamaa alishaoa kiukweli niliumia sana kusimliwa hivyo rakini kwakua ilikua simulizi niliyazoea maumivu yakapita
Basi mwaka 2019 Mkewangu kulitokea msiba kwao akaenda baasi akiwa huko msbani niliona kuna namba ilinitumia meseji ya (nitumie pesa) nikajua atakua mkewangu nikiipiga haipokelewi hiyo namba basi nikakaushia
Baada ya siku alirudi mama watoto wangu akaanzisha stor anasema et nilipokua nyumbani nlicheka kaka wa baba mkubwa alikutumia meseji ya kukuomba hela ukaanza kumpigia kila mara tukacheka pale yakaisha
Tumekaa kama wiki mbili simu ya mkewangu haikatiki kukaa mikononi nikajua hapa kuna kitu hakiko sawa alienda kuoga nikaichukua simu nikaikuta ile namba aliokua anadai ni yakakaake wa baba mkubwa ni jamaa ananitafunia mkewangu
MESEJI NILIZOKUTA ZINASEMA
1.Mpenzi wangu tangia nikupasue bkra pale kwenye boma la nyumba uliniroga nakukumbuka mpaka leo
2.Kumbe bado unautamu uleule wala ujabadilika
Yaani kfupi mkewangu amet**mwba sana na jamaa alivoenda msbani huko nilimbana alikiri kutembea na jamaa aliemtoaga bikra kipindi cha uschana niliumia maumivu ambayo yalikua yananifanya nishinde na njaa kila wakati ilinichukua miez mitatu.