Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa smart wanawake hua wanakosea sana kutuma meseji wakiwa wanachepuka. Mimi hichi kipawa ninacho.duh we jamaa chai...yaani ulipokea sms ya jamaa kwenye simu yako....halafu naomba namba ya mkeo mkuu
Ndio mkuu na kipindi hicho nimejiwekea nadhiri kabisa sitaki mchepuko namlindia wife kumbe daah yeye anagawa.Kwaio mzee ulifunga safari hadi mbeya kula mbususu Mbeya kulivyo mbali kule...🤣🤣🤣
[emoji28][emoji28]hii ishanikuta nilichokonoa stori yule dada akanisimulia jinsi alivyoliwa na majamaa roho iliniuma lakiniMie bwana wiki nzima usingizi hauji yaani moyo kama wataka kupasuka vile. Sasa ubaya wake bwana huyo mwanamke tulikuwa kwa sexmate relationship.
Siku ya siku siku ya siku tumetoka kwenda kula mdudu stoey za hapa na pale sii ndio akanisimulia jinsi amenya duliwa na jamaa....aise nyama ilikuwa chungu hatari. Wiki nzima nikawa sipati usingizi proper yaani full mawazo. Sasa ajabu yake eti mie ndio nikamtafuta huyo mrembo. Hapo nikaamini kuna mbususu zingine usionje ukionja ndio ulishapatikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sasa hii umesimuliwa wale wanaofumania live kweli wana haki ya kuua kwa kweli. Maumivu ni makali sana
Mie iliniuma maana hamna mwanamke nimewahi enjoy mgegeduani kama yule...yule mwanamke fundi bwana.[emoji28][emoji28]hii ishanikuta nilichokonoa stori yule dada akanisimulia jinsi alivyoliwa na majamaa roho iliniuma lakini
Wanawake viumbe wa ajabu alafu akawa ananambia ila we ndo unanipa raha wengine nilikua sisikii kitu [emoji38]
Utoto ulikuwaga raha sana
Daaa aisee Mimi nikichapiwa na dogo ambaye alikua rafiki yangu na no work mate na alimchapa manzi yangu sebilen kwangu huku mtoto wangu wakiwa wamemlaza pembeni ya sofa.
Kuna watoto walikua nje wanapiga chabo wakaja nistua nilipo . Kufika home jamaa Kesha maliza mchezo na yupo pale pale anajifanya anacheki movie.
Nilimbana yuele demu baadae akakiri kua kweli. Niliumia Sana mpaka leo tuliachana na yule dogo si marafiki tena .
Aisee hii balaaa.Daaa aisee Mimi nikichapiwa na dogo ambaye alikua rafiki yangu na no work mate na alimchapa manzi yangu sebilen kwangu huku mtoto wangu wakiwa wamemlaza pembeni ya sofa.
Kuna watoto walikua nje wanapiga chabo wakaja nistua nilipo . Kufika home jamaa Kesha maliza mchezo na yupo pale pale anajifanya anacheki movie.
Nilimbana yuele demu baadae akakiri kua kweli. Niliumia Sana mpaka leo tuliachana na yule dogo si marafiki tena .
Hii sio chai wewe ndio unakichwa kigumu kuelewaduh we jamaa chai...yaani ulipokea sms ya jamaa kwenye simu yako....halafu naomba namba ya mkeo mkuu